Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,423
naogopakusema hadharani,watoto watasikia
naogopakusema hadharani,watoto watasikia
Mamamaaa Mimi niliona zipo 2, kumbe zilikuwa 4😂😂😂😂SandakalaweView attachment 2256094
Ah sahihi kabisaHamjapishana…
Sasa maana yangu iko hapo kwenye sio kila rangi itawa favor watu wote, kuna mmoja lazima itamtoa sana, then mwingine anakuwa tu kawaida.
Nimeshapita nazo 2 baba Pasta. Ubarikiwe sana 😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahaha zimwagwe hapahapa bana, kugombania rahaaaNdiomana
Mie zangu naomba nitumiwe pm _King washayeyuka nazo zotee!!
Siwezi aiseeeSandakalaweView attachment 2256094
Nimechungulia mara moja tu aunt saivi ni break !! Ukizubaa unakutana na jam la mapepa balaa!! wacha niwahi
Love you guys badae!!

Usishindane na watu wa rohoni 😂😂😂😂Umetisha sanaa mama mchungaji kama kawaida yako, hongera
Hata we hujapata?Hahahahaha zimwagwe hapahapa bana, kugombania rahaaa


Hata we hujapata?
Kasahweka muda
Usishindane na watu wa rohoni 😂😂😂😂
Ahsante sana nkamu
Hahaha
Ukiwa unaenda location nistue![]()
eeh,hii id mbn km jina langu ,hahahahaWeka vituuu mie voda
🤣🤣🤣🤣 kula mwayaAh ngumu sana tuache wanaoweza kwa kweli
Mimi ni foodie siwezi kufanya diet kabisa
Wanga haukwepeki kabisa kwa maisha haya ya kitanzania ..maana lazima uangukie huko .
Uko vzrNimepata 2 wizo😂😂😂
kula mwaya
Mbingu zikifunguka tutapewa miili mipya!


Hahahaaaa!!!! Mjedaaaa🤸🤸🤸🤸eeh,hii id mbn km jina langu ,hahahaha