Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shida ni mazingira aliyojengewe mwanamke!
Ndo maana ni vzr Huyo baby wako akawa rfk ako kwanza!
Yaani akufanye uone km amekupenda km ulivyo akufanye uwe huru anakujemgea confidence ya kujiamin mbele yake!
Mi nakuchana tu yaani,gusa hapa,pita hapa mambo ya kuachwa nusunusu siwezi
Shida ukisema niguse hapa wengi wao wanakuona hujatulia
 
Screenshot_20220609-084120.jpg
 
Nyanyachungu zinafanyeje kaka maomba nidandir gari kwa mbele
Deeppond alisema kuna dem wake akinywa bia huko kunako kunapoa😅
Ndio na mimi nimemwambia Kelsea kuwa nyanyachungu za kisasa zomepoa kama anavyosemaga mtaalam deeppond..nilikuwa naoanisha tu!
 
hahahaaaa!! Ilani vizuri mkawa mnaambiana sasa ndio mpaka umpate wa kuweza kumuambia😅😎!
Dah mnatabu sana, kwa hiyo huwa hampati anayeambilika ndio maana mnalia hamfiki kileleni.
Kimsingi game zuri na utakayoifurahia ni kuanzia round ya pili kuendelea maana hapo kila mmoja anamuhitaji mwenzie ili kuamsha feelings. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika kila siku hamfiki mnakotaka kufika
 
Deeppond alisema kuna dem wake akinywa bia huko kunako kunapoa
Ndio na mimi nimemwambia Kelsea kuwa nyanyachungu za kisasa zomepoa kama anavyosemaga mtaalam deeppond..nilikuwa naoanisha tu!
afu sikufatilia sana hayo maneno ya mwisho
 
Back
Top Bottom