Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Nitumie bamia, napenda.Kuna namna umeelezea vocha hadi nikashindwa kuelewa kabisa...
..karibu shamba tubakula mapapai, ngogwe, bamia kama bamia..nk.
Ngogwe ni mboga ya majani au??
Nitumie bamia, napenda.Kuna namna umeelezea vocha hadi nikashindwa kuelewa kabisa...
..karibu shamba tubakula mapapai, ngogwe, bamia kama bamia..nk.
TutajirekebishaHuwa nyie mnapenda kufanyiwa vizuri. Huu mchezo ni two way. Sasa unakuta binti amekutengea tu unahangaika wee mwisho wa siku anasema hujafika mlimani wakati wewe mwenyewe hutoi ushirikiano.


Badae kaangakie bank, nimetuma hela ya matunzo ya mtotoKwa kweli utafika mbinguni umechoka sana😁😁😁
Nimefurahi unapenda bamia, ni nzuri kwa afya wanasema..ngogwe ni nyanza chungu...kuna namna wanazipika hawa wataalam, haziivi vizuri, basi ukitafuna unajua kabisa nakula afya hapa!!Nitumie bamia, napenda.
Ngogwe ni mboga ya majani au??
Hata Sijui mkuu mie naelezea upande wetu nawe elelezea upande wenu ndio itakua vizuri!
Mie zoba tu sina hata nilijualo na ushirokiano sitoii sasa ukute mwanaume nae zobalest inakua tafrani tupu

haya bana.Asante dear x😀Badae kaangakie bank, nimetuma hela ya matunzo ya mtoto
Huwa nakumbuka Ile comment nacheka sana. Nitakaribia siku mojaKuna namna umeelezea vocha hadi nikashindwa kuelewa kabisa...🤣
..karibu shamba tubakula mapapai, ngogwe, bamia kama bamia..nk.
Huko ndio kabisaaa ziro brain!🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️Huwezi kuongea vizuri vile, nikakupa A+ kwenye theory, halafu ukapata S kwenye practical, naamini hata practical lazima unapiga misonge tu!
Aisee.....Pamoja na yote Kiukweli kukojozwa raha sana... kiasi Kwamba hata mkizinguana mwanamke sometimes akiwaza tu ile churururururururururuuuuuuuuuu linamuishia pozi na misimamo inalegea.. sometimes
Watoe ushirikiano, sasa hivi.."you do me and I do you", mambo ya kutengeana kama beseni unahangaika kufua mwenyewe nani anataka.Huwa nyie mnapenda kufanyiwa vizuri. Huu mchezo ni two way. Sasa unakuta binti amekutengea tu unahangaika wee mwisho wa siku anasema hujafika mlimani wakati wewe mwenyewe hutoi ushirikiano.
Nyanyachungu zile ndogo ndogo zinakauchungu kwa mbali??Nimefurahi unapenda bamia, ni nzuri kwa afya wanasema..ngogwe ni nyanza chungu...kuna namna wanazipika hawa wataalam, haziivi vizuri, basi ukitafuna unajua kabisa nakula afya hapa!!
sema bado unanipenda penda na mie nakupenda penda sijui kama tutaachana moja kwa moja kuna kila dalili ya kurudiana tu 😁😁😁Asante dear x😀
Pole sana mkuu, nahisi kuna ka upepo flani kana pita mie mwenye hapa nipo hoi hatari ila nakaza tuSalama boss kilinitait kihoma hapa Kati lakini Sasa nimerudi kwenye reli,,watoto wazuri wanahitaji care Safi Sana
Una kumbukumbu nzuri sis darling, sie wengine na uzee huu tafrani tupu, ya jana tumeshayasahau mda tu!😅Huwa nakumbuka Ile comment nacheka sana. Nitakaribia siku moja
Huwa nyie mnapenda kufanyiwa vizuri. Huu mchezo ni two way. Sasa unakuta binti amekutengea tu unahangaika wee mwisho wa siku anasema hujafika mlimani wakati wewe mwenyewe hutoi ushirikiano.
Sina historia ya kumuacha ex nikamrudia sahau 😁😁😁sema bado unanipenda penda na mie nakupenda penda sijui kama tutaachana moja kwa moja kuna kila dalili ya kurudiana tu 😁😁😁
Shida ni mazingira aliyojengewe mwanamke!Mimi nimedeti na wazungu...
Wajua tofauti ilipo kati ya wazungu na nyie dada zetu?
Wazungu wako open sana. Yaani anakwambia laivu nini cha kufanya na wapi pa kukomalia ili afike kileleni...I like this...a lot. If you do it this way, I will come quickly and hard...yaani unapewa codes zote na kazi yako inakuwa nyepesi tu yaani...
Sasa nyinyi dah! Unajua kabisa braza hakufikishi kwa sababu hajaujua mwili wako vizuri. Na mko tofauti sana kila mmoja na mahitaji yake. Mkaka wa watu anahangaika weee huku na kule hakuna kitu. Halafu unatoka hapo unalalamika eti huyu jamaa bure kabisa. Mbona tu usimpe funguo za sefu ya mwili wako zilipo mkafurahia na kuokoa muda na kuondoa hizi frustrations na malalamiko yasiyo ya lazima?
Mi naulizaga tu. Eee bana eeh! Mi sitaki kutoka mijasho ya bure hapa. Nini kifanyike? Wapi pashughulikiwe? Tumalize hii gemu...au leo tufurahishane tu na lo lote litakalotokea litokee i.e. mechi zisizo na malengo...
Nyie mabinti wasomi...you can change the game...for the better!![]()
Basi hapa ndio utaanza kuandika historia upyaaSina historia ya kumuacha ex nikamrudia sahau 😁😁😁
Mbona nyie hamsemi 😂😂😂uwe unamwambia fanya hivi fanya vile baby! Napenda hiki napenda kile😎
Asante tunameza points !!