Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu huwa sina mashaka na wewe kwenye hiyo sekta. Mtu akijichanganya kwenye 18 zako ni lazima akasimulie hadi mizimu ya kwaoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haha acha tu huyo baby wangu kiportable afu mpare mchepuko kiportable afu mbulu unategema nn hapo mm mbio kumbe wameniungia nilikimbizwa acha tu nikahama eneo kwa Muda wa miezi 6 hivi
 
Kwa kweli michepuko inasaidia sana. Si mnaona siku hizi hata mkirudi alfajiri tunawapokea kwa magoti na mapambio; nyoyo kong'oliiiii
Hahaha, inasaidiaaaaa...
Jamani kwa hizi kero ndogondogo kama upo na mmoja tu waweza kufwa
zote ni kazi za mungu cha muhimu utundu tu kwani unaeza mkojoza/ furahisha mwanamke hata kwa kidole tu!
Ukitumia viungo vyako effectively mbona mtafurahia tu sex sio ingiza toa tu kakangu si ndio??
Watu wanatafuta kujiamini, wanasema "ze biga ze manhud, ze kujiamini zaidi"...mi bwana hata sijui.
 
W
Hahaha, inasaidiaaaaa...
Jamani kwa hizi kero ndogondogo kama upo na mmoja tu waweza kufwa

Watu wanatafuta kujiamini, wanasema "ze biga ze manhud, ze kujiamini zaidi"...mi bwana hata sijui.
Hahahah!!! ufundiiiiii kama una bamia jidifendi kwakua fundiiii!! Ulimi/ mdomo unao kidevu unacho mikono/ vidole unavyo use them effectively πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈπŸšΆπŸ½β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…