ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,635
- 127,283
Ahadi ni deni, nitakukubusha kila siku.Nyie husahau tu [emoji1787] ile story ntajaribu kuandika badae badae.
Pm mambo mengi rafiki mitongozo ipo lkn wengine wana chuki zao tu
Mimi najua mwanamke kutongozwa ni kawaida, tena ikipita wiki bila kutongozwa eti mnajisikia vibaya. Fungueni pm mtongozwe jamani..😅