Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mzima rafiki, hope uko poa sana. Hata hivyo ile story bado naisubiria...

Huko pm ni mwendo wa kutongozwa au wanakujaje?
Nyie husahau tu [emoji1787] ile story ntajaribu kuandika badae badae.

Pm mambo mengi rafiki mitongozo ipo lkn wengine wana chuki zao tu
 
Nguvu ipi???? Kwani kuna kupigana 🤣🤣🤣🤣🤣😜😜!!
Kumbe nimeapatia eehhh! Upunguze ukorofi bana wanawake hatupendi wanaume wakorofi korofi
😬😬😬 nyie mnajidai hamnazo lazima tuwazingue tu maana kwanza mpo wengi, ukizingua unapigwa chini mambo yanasonga
 
Back
Top Bottom