Selfika na JF: Snap it. Show it

hahahahahaha,we mtata
 
Yani natamani ningeumbwa nahuo moyo mimi wangenikoma ila sasa! siweziiii!!
 
Watu wa namna hiyo wanashangaza sasa mtu anakuja hadi Pm ili iweje sasa, ni ushamba tu
Unakuta mmezinguana kwenye uzi, mods wakaanza kufuta comments maana yake hapo mkiendelea mnapigwa ban. Au wakati mwingine uzi unafungwa kabisa au unafutwa.
Sasa yeye anaona hajakupa makavu yake vizuri anakuja pM kuendeleza. Yaani ni raha sana
 
😁😁😁😁
 
Sasa ndio umeona unitangaze hapa 🥲🥲
 
Kumbe
mnaendelea kupeana za uso pm, haki tena nakutamania huo ukorofi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…