Binti yangu mwema sana...
Mpendeka mno mno...
Inakuwaje unakuwa na birthday
Hata daddy wako sijui?
Anyway, nachukua nafasi hii ili kukuombea kila lililo jema kutoka kwa Mungu wetu mkuu huyu Asiyelinganishwa na cho chote. Barikiwa sana binti. Furaha na amani vikuandame kila uendako. Majaribu, misukosuko na mbinu zote za giza na zikashindwe kwa jina kuu la Yesu. Tena uishi maisha marefu kwa kadri iwezekanavyo na uzao wako wote ukawe wenye hadhi na heshima sasa na hata milele. Amen