Nani?Anataka kufanana na wewe
Daah nime scroll page almost mia mbili nikitegemea angalau ntakutana na guu la bia njiani nakutana na hii picha mbuzi wapo malishoni wanakula hii ni haki kweli walimwengu

na sirudi tena hukuYani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa 😂😂😂Acha uchokozi nimeashwa vibaya sana njoo unisaidie kuosha vyombo nipo home alone.View attachment 1252945
Yani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa 😂😂😂Acha uchokozi nimeashwa vibaya sana njoo unisaidie kuosha vyombo nipo home alone.View attachment 1252945
Abee
Kaká ebu changamka bwana
😂😂😂😂 pole Dada lakini nawe ulikuwa wapi jamaniIludishe ile picha uliyofuta Wapendwa mnaharibu uzi aiseee.
Woyoooooooo
Mambo za zawadi sasa ninavyopenda![]()
Ujue uzi unanichosha hapo why huwa mnafuta picha Wapendwa naomba nitumie piemuni.😂😂😂😂 pole Dada lakini nawe ulikuwa wapi jamani
Waoooh'..!!
Acha kuniita mvivu mkono unaniuma huoni sufuria kubwa lina ukoko wa ugali siyo rahisi.Yani hicho chombo kimoja nacho wahitaji msaada? Acha uvivu mpendwa 😂😂😂
Daah nime scroll page almost mia mbili nikitegemea angalau ntakutana na guu la bia njiani nakutana na hii picha mbuzi wapo malishoni wanakula hii ni haki kweli walimwengu
na sirudi tena huku
Haya nimeacha, ila kwa kuwa ulikula mwenyewe basi na vyombo vyako uoshe mwenyewe 💃Acha kuniita mvivu mkono unaniuma huoni sufuria kubwa lina ukoko wa ugali siyo rahisi.