cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,985
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko.Ushasahau? Likaja likalandinga mida ya jioni tukawasokomeza mpaka wote mkaenea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko.Ushasahau? Likaja likalandinga mida ya jioni tukawasokomeza mpaka wote mkaenea
Nlikuaga na service girl wangu wawili wa kwenye mzabuni ndo walkua wananpa jeur[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati nikiwa jeshini, kuna afande alikua ananiita mzungu pori, woiiiiih
Ulitishaaaah mnoooo.Nlikuaga na service girl wangu wawili wa kwenye mzabuni ndo walkua wananpa jeur
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Hapa Lugufu?
Tusiendelee tafwazali 🤣😂😂Kuna private mmoja alkua bishoo sana wanamuita pogba alkua mweusi mrefu ndo alkua tozi unit nzima
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Tunaongea apa kama Op moja haya ww Op nn hioTusiendelee tafwazali [emoji1787][emoji23][emoji23]
Unamsemea yule mzee wa kumechi? Anamechishaga? Mabuti/ raba kama za jeje
Aya tuwekee picha yako ya kipara ukiwa uko mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu huko.
Emu niache 😂
Si useme uskute ulkua babe kuruti [emoji28]Emu niache [emoji23]
Mazingira yanafanana na Lugufu..Uvinza
Hebu niacheeeeh kwan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya tuwekee picha yako ya kipara ukiwa uko mkuu
Kuna nn kwan? Nan angekimbia JF?Asanteni wote kwa kutuliza dhoruba la mchana.
Nilikuwa nafuatilia hatua kwa hatua.
Kuna watu mngekimbia jf milele.
Mmezidi kuumiza wengine.
Bora mmeachana na ujinga huo
Snowcream dar es salaam location#icecreamforbreakfast [emoji509] [emoji510]
View attachment 2244279
Unataka unisage,mi kisimi Sina kabisa
😞 Duh makubwa ya Dunia!Unataka unisage,mi kisimi Sina kabisa
Kambi ya Lugufu bado mpya sana.Mazingira yanafanana na Lugufu..Uvinza
KalaleKuna nn kwan? Nan angekimbia JF?
Umeogopa ee😞 Duh makubwa ya Dunia!