Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unapenda ugomvi wee?
Sipendi maugomvi,napenda amani,ukweli na uwazi uwekwe,,,,sio habari ya vijineno visivyo na tija kama watoto wa shule ya msingi wakiwa wanashea Vivulana vipiga kengere,

Watu wenye mioyo mibovu mambo kama haya yanaishia kutuumiza tu wallah,

Leo kitu gani sijui kilinileta hapa,,,nilishaonaga haya mambo kitambo sana na nikayakwepa nikajua kupo safe kumbe badoo.
 
Ndio unataka twendee hukoo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] usije kimbia mziki kwa kujirusha juu nikapata kesi ya mauaji buree ndio naiona hapa baada ya kuniambia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nimesema tyuuh, wala huko mie sina hadhi hata ya kuwq mfanya usafi wa palee.
 
Twende basi zanzibar , 🤭🤭🤭🤭 hakuna kuvuka maji hadi mmoja anyooshe mikono juu
 
Sipendi maugomvi,napenda amani,ukweli na uwazi uwekwe,,,,sio habari ya vijineno visivyo na tija kama watoto wa shule ya msingi wakiwa wanashea Vivulana vipiga kengere,

Watu wenye mioyo mibovu mambo kama haya yanaishia kutuumiza tu wallah,

Leo kitu gani sijui kilinileta hapa,,,nilishaonaga haya mambo kitambo sana na nikayakwepa nikajua kupo safe kumbe badoo.
Basis tutayaacha, amani itawale. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom