Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Waoooo nimeanza kuisikia harufu yako nzuri tokea upo mbaaali π€π€π€π€Naingia hapa
Waoooo nimeanza kuisikia harufu yako nzuri tokea upo mbaaali π€π€π€π€Naingia hapa
rufaa yanini baba pasta??ππHivi ukikata rufaaa inakuwaje ππ inaruhusiwa au zoezi linakuwa gumu sana
Nakwambia huyu mrembo mie mpaka kesho najilaani kumuacha pale msamvumzabzab hii pisi ina hips na anaonekana ni mtaalam wa kuifinyia kwa ndani!
Uwe una nitag basi bestyTatizo mnapotea sana uwe unarefresh selfika mara kwa mara
Hem fanya hima uwe shemeji uangu πππUsiwaze mamset dogo kwanza!!π
Hizo ni hujuma tu mkuuHivi ndoa ya hawa wadau tayari kumbe
Kuna pisi fulani humu ndani eti inashindanaga na huyu mrembo wakati yenyewe imekondeana kama ina degedege!Nakwambia huyu mrembo mie mpaka kesho najilaani kumuacha pale msamvu
Mweupe kabsa yani I love komwe wanguSio cheupe mimi View attachment 2245626

Hem fanyeni namna aiseeHizo ni hujuma tu mkuu
Ah wapiMweupe kabsa yani I love komwe wangu![]()
Naomba mwalikoPamoja sana!! Tena dogo anakuja kunisabahi Next wiki !!
hakudundiii totoooo zuri πππ relax π€π€π€Ohoooo mbona wataka kuniletea shida nidundwe mieπ€
Baba pasta ana pisi yake kali sana inaitwa FIB
π π π π ππ£π£π£π£ππ£ jamani jamani!! kumbe!!!πππππ mbona mnapendezana kweri kweri!!π