Wee msomali ntakurudisha kwenu Mogandishu huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! [emoji1787][emoji1787] Usikubali mkuu lipiza aisee [emoji23] amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu [emoji20]
🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣🤣!!!! Una mwili wa kupigana lakini mkuu!! Ni tutapewa zauso kuanzia mababu wa mabibi zetu hadi vilembwe na vitukuu vyetu!!😉Umelitafuta mwenyewe kaa kwa kutulia.
Kichaka kikiwaka moto niite😆
Kungwi pole[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shouzzzzzz umemuona? Kaka m1 wa kwenda, half cast wa kisomali,
Jicho, udevu, lips, uchebe, kiduku juu. Woiiiiiiiih
Noumaaaaaa!!!!!
Jana ulikuwa una utofauti jukwaani mpendwaSijaonja kabisa mpendwa. Na nina muda mrefu kweli sijaonja. Niko tu nakata majani hapa sema kuna jua hatari.
Kwa nini umesema hivyo mpendwa?
View attachment 2244034
Poker una umri gani?😆😆😆Ila mkuu una roho ya kipekee sana sio mwepesi wa hasira ila cku nyingine kwa maoni yangu Usikubali kabisa mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnatafuta liwakute jamboooo.Nani kasema mkuu usintafutie balaa lako ujue!!
Nipo dada za kupoteana lakini!!??? Karibu tena selfika dada tubariki kidogo na selfii yako dada😘😘😘😘!!Mdogo wang upo jaman kitambo mnooo nmekumiss
Duh umeona vibaya aiseeh!Shouzzzzzz umemuona? Kaka m1 wa kwenda, half cast wa kisomali,
Jicho, udevu, lips, uchebe, kiduku juu. Woiiiiiiiih
Noumaaaaaa!!!!!
Nimesubiri hadi nasinzia 😁😁Nipo dada za kupoteana lakini!!??? Karibu tena selfika dada tubariki kidogo na selfii yako dada😘😘😘😘!!
Ktk half cast wote wa kiume walio onesha picha zao humu ndan yeye ndo kauaa, sio yule wa Iran wala yule wa Kiarabu, huyu wa Mogandishu kauaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaona sijaona shos na kagoma kuirudia kabisa doh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]!!
Haha unamjaza ujinga tu wanaume hawarushiani maneno hivo mkuu! Hayo ni mambo ya wanawake!!Ila mkuu una roho ya kipekee sana sio mwepesi wa hasira ila cku nyingine kwa maoni yangu Usikubali kabisa mkuu!
Haha watakimbiana huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnatafuta liwakute jamboooo.
Ila nae Mtumishi wa Mungu alikuwa mjinga mjinga, kaonywa mala nyingi akae mbali na mwanaume.. basi sikuo la kufa halisikii dawa kwa asilimia kubwa angekuwa hai kama angesikia mashauri ya wenye hekimaAmetupotezea Mtumishi wa Mungu. Imagine watoto wao wanapitia hali gani muda huu......
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe pia sijakuona kitambo mkuuNimesubiri hadi nasinzia 😁😁
Haha watakimbiana huko
Boss hebu nifanyie mpango, unataka nife njaa, mbna chawa wenzangu wanafaidi mapesa mie nakwama wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chawa wangu vipi nikunyunyizie maji kidogo[emoji16]
Naogopa usije uka🥰🥰 sana kwa mshkaji wangu uanze kunisumbua....😏 😆😆😆😆Hebu tumuone vizuri shemela,
Dah majukumu boss lady🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe pia sijakuona kitambo mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mnatafuta liwakute jamboooo.
Anza kazi pasi...sioni kipepeo cha kunipepea😅Boss hebu nifanyie mpango, unataka nife njaa, mbna chawa wenzangu wanafaidi mapesa mie nakwama wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]