Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha,
Shukrani zangu za dhati nazituma kwa kibagia changu Depal popote alipo,
Ujumbe: tukumbukane kwenye masuala muhimu kama haya'..!!

thank you C'ssy, it's my lucky day real..!🥰🥰
Nitaanza kuwa nakutag… niambie tu unapenda kuwaona kina nani wakitupia, ili siku wakitupia chap nakuita 😇
 
Saint Anne njoo huku dada, nlikuambia city tumetolewa nyie hamtoboi, ulinipopoa sana,

Afadhar mwenzako nimechukua EPL, wee Carabao na FA,
JamiiForums1068858192.jpg
 
Nachoshukuru nimekuwa ya embe, siyo juice ya pilipili kama wewe..!
Uje ijumaa kula biriani ya kuku.!
Kiazi mbatata wewe..!!
Niko India… sasa sishangai kabisa mie kuwa juisi ya pilipili 😅😅😅

Ngoja nitafute hela.. au patakuwa na free biriani kwa sisi staff?
 
Niko India… sasa sishangai kabisa mie kuwa juisi ya pilipili 😅😅😅

Ngoja nitafute hela.. au patakuwa na free biriani kwa sisi staff?
Usinikumbushe,
Kipindi nipo chuo kuna rafiki yangu alikuwa anatengeneza pilipili moja nzuri kweli nilikuwa naitumia hata nikiwa nanywa chai na maandazi asubuhi.!!

Bhaaana bhaaana..! yaliyokuwa yananikuta 'ofisi kuu', nilikuwa nalia machozi huko ndani, kitu kinawasha mpaka basii, najiapiza siigusi tena, wooii nikirudi duniani nasahau naila tena like nobody's business..!!
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 sasa kujitesa vipi!? Si ungeachana nayo tu hata kama ni tamu
 
Back
Top Bottom