Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kazi iendelee
20220529_140610.jpg


Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Vocha vp jaman wikiend hii View attachment 2243344
Vocha huwa zinawekwa kwa ajili ya akina dada. Na mabraza siku hizi tunaulizia vocha tena zinazowekwa na braza mwenzetu? Hili halikubaliki!

Kuanzia sasa vocha zote tuwaachie akina dada. Nitakuwa napita kuhakikisha kuwa hili agizo linatekelezwa!
 
Huu uzi maunono sana....

Nipo nao bampa to bampa..

Note: picha zote nnazo.. Ukiona umemiss umekuta mtu kafuta uje nikutumie... Utalipia bando tu...

Asante... Tuendelee ku-selfika..
 
Back
Top Bottom