Jamani mbona mnamtisha Babu yenu, hii inaonesha Vile wajukuu zangu hamko makini na vijana wenzenu π€ͺπ€ͺ
Sasa nimeandaa utaratibu, likizo mtakapokuja Kijijini kunisalimia mtamkuta Daktari kwaajili ya kuwacheki afya. Asiyetaka sitamchinjia Kuku niliyowahaidi π€ͺπ€ͺπ€ͺ