Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Labda mwaka huu watafanyia kazi
Imekuwa tunaimba yaleyale tu..mfano hili la pm nishamwambia Melo kitambo.
Mambo mengine hata sijui huwa wanafikiria nini. Zamani ulikuwa unaweza kukwoti hata watu 100. Leo hii hata watu wawili huwezi. Notifications zinafika baada ya masaa 7...na maongezi ya PM sasa mweh! Yaani vurugu tupu. Hivi ni vitu vidogo tu lakini sijui kwa nini huwa havishughulikiwi.
 
Attachments

  • IMG_20220527_165401.jpg
    IMG_20220527_165401.jpg
    63.9 KB · Views: 9
Mambo mengine hata sijui huwa wanafikiria nini. Zamani ulikuwa unaweza kukwoti hata watu 100. Leo hii hata watu wawili huwezi. Notifications zinafika baada ya masaa 7...na maongezi ya PM sasa mweh! Yaani vurugu tupu. Hivi ni vitu vidogo tu lakini sijui kwa nini huwa havishughulikiwi.
Hili la Pm lilikuwa linanikera zaidi.
Massesage yanabebana hovyo hadi unakosa hamu ya kuendelea kuandika.

Hii shida ya kugoma kuquote comments nyingi imenifanya hadi niache kujibu baadhi ya comments..maana watu kibao wamenipa pole.
Badala ikubali niquote wote kwa comment moja tu..eti hadi nianze kujibu mojamoja kitu kile kile!

Mi notifications ilikuwa inakuja ya juzi..sasa hivi inakuja ya masaa 7 na 14 yaliyopita.

Yaani akina Maxence Melo wanajua kutunyanyasa na hii App🤣
 
mtoto tunalifanyia kazi tulia basi 😅🥸🥸
 
Back
Top Bottom