Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
😂😂😂😂 Yani wewe bana..unakuwaga wapi Sasa..!!..Tulia leo utaniona saanaaa tuKwa mara ya kwanza nimeiwahi. Kweli avatar yako inasadifu ulivyo 👐
😂😂😂😂 Yani wewe bana..unakuwaga wapi Sasa..!!..Tulia leo utaniona saanaaa tuKwa mara ya kwanza nimeiwahi. Kweli avatar yako inasadifu ulivyo 👐
Ijumaa leo naweka kambi hapa.😂😂😂😂 Yani wewe bana..unakuwaga wapi Sasa..!!..Tulia leo utaniona saanaaa tu
Tena special tag😜...Ijumaa leo naweka kambi hapa.
😋Tena special tag😜...
kitambo sana hujatupia mkuu tubariki pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
May the Lord keep on making her the head and not the tain. She shall always be above only, and not be beneath. May the Grace of God never depart from her. Greatness and Excellence shall always be her portion IJN.Niko bize kidogo. Jumamosi hii binti yangu anamaliza Middle School anakwenda High school. Nakwambia nakomaje. Kuna kwenda kutengeneza sijui nywele. Hivi ndo tumetoka kwenye kucha. Bado kuna gauni sijui lifanyweje. Na kesho kuna appointment ya kutengeneza kope na kupiga picha. Watoto wa kike kazi sana. Lingekuwa liJunia yaani ingekuwa ni haircut tu barbershop kazi kwisha....
Ni valedictorian na anataka ang'are sawasawa. Shida tupu yaani [emoji51][emoji51][emoji51]
Salama kabisa kipenzi...Kumekucha kipenzi bila shaka umeamka poa mamy!!!😘
Huku mungu ni mwema kipenzi!!Salama kabisa kipenzi...
Sijui upande wako mamii
Shape limenipita?Ahsante ...
Inapendeza dear😍😍😘Huku mungu ni mwema kipenzi!!
😂😂😂😂Umepitwa dearShape limenipita?
Leo nimejaa tele hapa, usicheze mbali.kitambo sana hujatupia mkuu tubariki pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Nyie kumbe hizi reactions wameweka za kiswahili. Nafungua notifications naona "kicheko"😂😂😂😂Umepitwa dear
🤣🤣🤣Nyie kumbe hizi reactions wameweka za kiswahili. Nafungua notifications naona "kicheko"
Eeh..Mimi nulikutana nazo last night zilinistua kidogo..wabadilishe na "thanks" Sasa..maana reaction ya 😍 inakuja "nzuri"Nyie kumbe hizi reactions wameweka za kiswahili. Nafungua notifications naona "kicheko"
Mkuu naona hutaki shida, breakfast unashusha chips kabisa uingie mzigoni.View attachment 2240317
[emoji39][emoji39][emoji39]