Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Unanisema mm Mama Junia ninaandika zaidi ya hati zaidi ya SabaMwandiko wa kikubwa.
Si wote tumebahatika kuwa nao.
Wengine wanaparuza tu kama bata anavyopita kwenye tope.

Unanisema mm Mama Junia ninaandika zaidi ya hati zaidi ya SabaMwandiko wa kikubwa.
Si wote tumebahatika kuwa nao.
Wengine wanaparuza tu kama bata anavyopita kwenye tope.

Kuna vitu Fulani naona unapost humu, nadhani ni mkate wa kuumuka,unapika vizuri pia..huwa unapendeza Kwa machoNajua chapati tu
Sana alafu kawe ka suprise unaweza kupiga yowe kale kafeeling acha tuMwandiko wa mkono Una hisia..mtu akikutamkia anakupenda Kwa kutype Kwa mkono ktk karatasi ina maana kubwa kuliko anayetuma meseji WhatsApp
Nikitoka kusali nitaandikaaa, hata gold unaizamia chini ardhini.. wenye vina virefu kuna vitu amazing wanacho sema watu hawajagunduaaa tuu na wakigundua vina vifee oyeeeWeee
Weeeee virefu wengi mashimo tu Hahaha ukute kule nyamanyama zimebana bana sasa hahahaha
#weekendvibes!!😜
Naomba yai
Nishapata Cha kupika jionTupate mapumziko ndugu wazungumzaji


Hahahaaaa.... Nasubiria hapa somo kutoka kwa baba pastaa!!! Virefu houuuyyyyyyyeeeeeaaahhhhhhhhhh!!!🤭Nikitoka kusali nitaandikaaa, hata gold unaizamia chini ardhini.. wenye vina virefu kuna vitu amazing wanacho sema watu hawajagunduaaa tuu na wakigundua vina vifee oyeee
Hakika mama Samia anaupiga mwingi sn
Mtumishi Safari ya Ethiopia vipi au shangazi ameshahamaNikitoka kusali nitaandikaaa, hata gold unaizamia chini ardhini.. wenye vina virefu kuna vitu amazing wanacho sema watu hawajagunduaaa tuu na wakigundua vina vifee oyeee
Najaribu jaribu Auntie..Nishapata Cha kupika jion
Yummy uko vizuri
Weeeh😍Ngoja nikuleteee mdogo wangu Ninayo mengi nafuga wa kienyeji kabisa!!
Ahahah..kumbuka kuchora ni kipaji,Mimi nilikuwa macho tangu primary
Yes,nilikuwa mkali wa bios, chemistry na physics
Keki🤣Kuna vitu Fulani naona unapost humu, nadhani ni mkate wa kuumuka,unapika vizuri pia..huwa unapendeza Kwa macho
Nakumbuka sn nyumbani nikiona picha zako
Kwakweli Ashura Hana show mbovu tufanye tukachukue notesNajaribu jaribu Auntie..
Shemegi asije hamia kwa Ashura.

Umenenepa dogo.Mguu wa mamakee princess 😋 Heaven Sent View attachment 2240448
Mimi wikiendi hii naenda kuchukua samare zakeKwakweli Ashura Hana show mbovu tufanye tukachukue notes![]()
Safari ipo, mapenzi ni Biology + Saikolojia ya akili tu 😅😅😅 acha tumwage darasaMtumishi Safari ya Ethiopia vipi au shangazi ameshahama
Kiburi tu😃Una makusudi
Ndio nini sasa![]()
Wee had minyoo tumboni imeshtuka lol.Nasinzia tu hapa!!
View attachment 2240494
WoiiiiihHahahaaaa!!!!