Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Kina kirefu raha, vina vifupi kidogo anaruka majoka 😅😅😅 vina virefu unakuwa unaitafuta ile kitu kwa ndani kwenye zile mishipa au basi acha niengie masjidi kwanzaHuyo wa zambarau anaonekana ana kina balaa angalia kutoka kiunoni hadi kwenye Mbunye 🤣🤣🤣🤣!!
Dahhhh!! Bios Utakua ulifaulu sana wewe!! Yani mulemuleeeeee!!!Nimekumbuka mbali sn enzi za shule naitwa mbele na mwalimu kwenda kuchora,Hadi nikawa mchoraji wa darasa,kumbe kipaji hakizeeki..bado najitahidi
Mobile maksi hii madam mahondaw na madam sophy27 [emoji3]View attachment 2240510
Magimbi plus Yai..leo ushinde peke yako kuepusha aibu ndogondogo maana utakuwa inatoa ushuzi unaonuka muda wote[emoji3]Nasinzia tu hapa!!
View attachment 2240494
Una maandiko mzuri na ukovizuriNimejibu swali la Kwanza,la pili ajibu Depal
Samahani Kwa mwandiko wa kidaktari..mwandiko mbayaaView attachment 2240505View attachment 2240506
Mtaalamu wa jiko sn we mdadaTupate mapumziko ndugu wazungumzaji
Ahaha enzi hizi siyo za kuandika barua za mkono tena madam,hizi ni enzi za simuUna maandiko mzuri na ukovizuri
Mwandiko huu ukiandika barua ya mapenz mtu hachomoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kina kirefu raha, vina vifupi kidogo anaruka majoka 😅😅😅 vina virefu unakuwa unaitafuta ile kitu kwa ndani kwenye zile mishipa au basi acha niengie masjidi kwanza
Mwandiko wa kikubwa.Kweli eeh..asante sn[emoji3059],ngoja aje Fulani lazima aniponde
Ahahah..kumbuka kuchora ni kipaji,Mimi nilikuwa macho tangu primaryDahhhh!! Bios Utakua ulifaulu sana wewe!! Yani mulemuleeeeee!!!
Sasa hawa watoto wa mama Samia kwenye mtihani waambie wachore sikio la Human being hata kuangalia sikio la mwenzie kwa pembeni anashindwa yani!!
Mm mbona naandika Sana hahha nikiwa deep tu naandika [emoji23][emoji23][emoji23] kamassage kwa karatasi au bado Nina kautoto[emoji23]Ahaha enzi hizi siyo za kuandika barua za mkono tena madam,hizi ni enzi za simu
Najua chapati tuMtaalamu wa jiko sn we mdada
Jirani hujamboTupate mapumziko ndugu wazungumzaji
Aione Depal hii comment mwenye mwandiko km anaburuza reki kwenye majaniMwandiko wa kikubwa.
Si wote tumebahatika kuwa nao.
Wengine wanaparuza tu kama bata anavyopita kwenye tope.
Naomba yaiNasinzia tu hapa!!
View attachment 2240494
Sawa jiraniMwandiko wa kikubwa.
Si wote tumebahatika kuwa nao.
Wengine wanaparuza tu kama bata anavyopita kwenye tope.
Sijambo jirani,shkamoo.Jirani hujambo
😂😂😂😂Sawa jirani
Una makusudiTupate mapumziko ndugu wazungumzaji
Mwandiko wa mkono Una hisia..mtu akikutamkia anakupenda Kwa kutype Kwa mkono ktk karatasi ina maana kubwa kuliko anayetuma meseji WhatsAppMm mbona naandika Sana hahha nikiwa deep tu naandika [emoji23][emoji23][emoji23] kamassage kwa karatasi au bado Nina kautoto[emoji23]