Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

NaaamView attachment 2240371Madogo wanatafutana hapa!!
Nimejibu swali la Kwanza,la pili ajibu Depal

Samahani Kwa mwandiko wa kidaktari..mwandiko mbayaa
IMG_20220527_110244.jpg
JamiiForums-307071049.jpg
 
Dah..
alafu mkuu nasikia eti kadili umri wa mwanamke unavyosonga ndivyo mstari unavyoshuka chini (nafikiri nimeeleweka )

Ndy maana mtoto mdogo wa kike akisimama mstari unakuwa hapa mbele Ila umri ukiwa mkubwa mbele unaona kinena Tu,mstari unakuwa chini kbs..(swali limekuja baada ya kuona hii picha,nisinukuliwe vibaya[emoji3])
 
Back
Top Bottom