Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅😅😅 Unaweza jikuta unaweweseka sasa
Mtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopo🤣🤣🤣🤣🤣 huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikulu🤣🤣🤣🤣
 
Ulinivia nitoke ndio uingie sawa tuu 😄😄
Tatizo husemagi mapema 🥴🥴
Mpaka nishaingia #daladalani
20220525_163530.jpg
 
Mwaka 2010, mama yangu mkubwa aliugua sana, alikuwa anaumwa ugonjwa wa ini tokana na kuwa alcoholic, kabla hajafariki aliugua coma, na hali haikuwa vizuri hata kidogo.
Huyo mama yangu amenisomesha, amenipa mwanga wa mambo mengi sana, maisha yake ya usichana ameishi ughaibuni, nikiwa mshamba kabisa nakwenda kumuona, nashangaa kila kitu, yeye alinipenda sana, na mie nilimpenda sana.

Nimekutana na marafiki wengi kwa sababu yake, na mambo mengine yote ni sababu yake.

Baada ya kuugua sana, watu walikata tamaa akiwemo baba yangu mkubwa ambae ni mmewe, kwa kweli nilimuomba sana Mungu ampe nafuu japo nipate kumuaga mama yangu kipenzi, hata nimwambie tu ahsante mama, anione mwanae anitambue roho yangu ifurahi.

Siku mbili baadae napata taarifa mama amepata nafuu yaani ametoka kwenye coma lakini ana wiki mbili ama mwezi kabla ini lake halija shutdown kabisa.

Namshukuru mungu nilimuona kwa mara ya mwisho , nilimshukuru kwa mema aliyonitendea, nilitoka hapo nalia, sikuamini kama kweli nimemuona akaniona mama yangu kipenzi, nilikua nae karibu sana kabla hajaanza ku hit bottles hard,namshukuru mungu alinipa wasaa kumuona mama yangu mara ya mwisho na kumwambia kwa heri.

Hakika mkuu naweza sema Mungu alisikia maombi yangu

Mungu hajibu kwa kile unachotaka bali unachohitaji.

1 Petro 3:12 NEN​

Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.

_King
 
Mtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopo🤣🤣🤣🤣🤣 huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikulu🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀 Hapo ndio utaambiwa weka order ya G-Wagon, na unaweka bila ubishi .. kuna watu ukiingia nao kwa room kama hii unakuwa kama umeingia peponi na hutokaa utamani utokee hasa kama huyo huyo...
3E099B8F-33C9-473C-9CAE-FCE478344093.jpeg
 
Mtoto beautiful kama huyu alafu umetulia zako by the pool mrembo anakwambia can u plz apply sun lotion on my body....mweh mweh mweh...kwa kiwewe tuu unaweza jikuta una squeeze lotion nusu kopo🤣🤣🤣🤣🤣 huku ukiamsha hema maeneo ya chamwino pale ikulu🤣🤣🤣🤣
Sasa na weusi huu sun lotion ya nini kama sio mbwembwe @Mzab 🙃
 
Mwaka 2010, mama yangu mkubwa aliugua sana, alikuwa anaumwa ugonjwa wa ini tokana na kuwa alcoholic, kabla hajafariki aliugua coma, na hali haikuwa vizuri hata kidogo.
Huyo mama yangu amenisomesha, amenipa mwanga wa mambo mengi sana, maisha yake ya usichana ameishi ughaibuni, nikiwa mshamba kabisa nakwenda kumuona, nashangaa kila kitu, yeye alinipenda sana, na mie nilimpenda sana.

Nimekutana na marafiki wengi kwa sababu yake, na mambo mengine yote ni sababu yake.

Baada ya kuugua sana, watu walikata tamaa akiwemo baba yangu mkubwa ambae ni mmewe, kwa kweli nilimuomba sana Mungu ampe nafuu japo nipate kumuaga mama yangu kipenzi, hata nimwambie tu ahsante mama, anione mwanae anitambue roho yangu ifurahi.

Siku mbili baadae napata taarifa mama amepata nafuu yaani ametoka kwenye coma lakini ana wiki mbili ama mwezi kabla ini lake halija shutdown kabisa.

Namshukuru mungu nilimuona kwa mara ya mwisho , nilimshukuru kwa mema aliyonitendea, nilitoka hapo nalia, sikuamini kama kweli nimemuona akaniona mama yangu kipenzi, nilikua nae karibu sana kabla hajaanza ku hit bottles hard,namshukuru mungu alinipa wasaa kumuona mama yangu mara ya mwisho na kumwambia kwa heri.

Hakika mkuu naweza sema Mungu alisikia maombi yangu

Mungu hajibu kwa kile unachotaka bali unachohitaji.

1 Petro 3:12 NEN​

Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.
Ooh pole sana Mkuu
 
Polesana
 
Nimesoma vizuri sana, kuna vitu vingi sana nimeona katika kati ya kila mstari na sentesi uliyo andika.

Katika Maisha kuna kipindi wanaondoka tulio wapenda sana, Mama alihakikisha unasimama, na kusimama kwako unatakiwa kusimamisha wengi zaidi hiyo ni mbengu ambayo Mama ameipanda ndani yako.

Amepanda mbengu ndani yako, ukazae makumi.

Siku zote Mungu huwa ni Muaminifu na siku zote Mungu anatupenda

🙏🙏🙏🙏
 
🙏 🙂🙏🙏

2 Wakorintho 9:6-7​

Kumbukeni: “Apandaye kidogo huvuna kidogo; apandaye kwa wingi huvuna kwa wingi.” Kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au kwa kulazimishwa, maana Mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.
 
Mungu hata siku moja hana mpango wa kutuuzunisha wala kufanya nafai zetu zizimie. Hufanya jambo kwa utukufu wake..

Yesu Kristo, kipindi ana teswa hadi kufa kwake wapo waliopatwa na uzuni, ila kumbe ndio ulikuwa ukombozi wa dunia.

Kuna nyakati tunahisi tumeumizwa au kuuzunishwa ila kuna kuu zaidi ambalo Mungu anataka kuruhusu kutokea kwa ajiri ya utukufu na kwa watu wengi.

16 “For God so [greatly] loved and dearly prized the world, that He [even] gave His [One and] [a]only begotten Son, so that whoever believes and trusts in Him [as Savior] shall not perish, but have eternal life.
 
Back
Top Bottom