Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Damnnnn....sasa hizi ndio type zangu😍😍😍😍 aise u r beautiful na hivyo vidole vya mguu if they are anything to go by...ur must be very very sweet....upo wapi mrembo mida ya lunch hii bwana
☺☺☺☺☺

Niko hapa nashangaa shangaa...nijiandae kwa lunch? 😉
20220525_131602.jpg
 
😄😄 mie nisiongee neno nitaamsha hisia tu alafu ndio ivyo ngazi za kupanda ghorofani hazipo.. vidole vya miguuni pete hatari, shape hatari, mtoto hana makuu roho ya nyeupe haina giza hata kiduchu, mtoto sauti yake kama malaika wa sifa midomo hiii acha tuu yale menoo ooops ( am gona die - in harmonize voice )
😊😊😊😊

Karoho kakawe kazuri kama unavyokanenea Inshallah!!! ☺☺☺
 
Back
Top Bottom