Basi subiri ntakushtua. Niko madukani huku nikifika tu home nitakutag kabla sijajiripua...laivu kabisa bila chenga...uone mzee wa miaka 76 nilivyochakaa
Haya ndio maneno sasaaa π₯π₯π₯ Maana na wewe ni motoo hatari na anajua sana ku care utanogaaa ile mbaya zaidi nitakua nakuita Mrs Pilot Boeing 777 Post M-alone π π π