Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Ninyanyase tu
Ninyanyase tu
Mungu ni mwema
Nipo napambana
Hapa nakata usingizi
Chuma itembee
Nikirejea salama tukae pale juliana
Tinye tilewe
Wewe tenaUsinikalishe kizembe hivo..

Mtoto soft, usafiri umetulia😍
Asante ShangaziNikutakie safari njema mjomba...


Ewaaaah haya ndio yaliyo nileta sio sarakasi zako, utavunja meza
Sasa mie na Shelui wapi na wapi?Wewe tena
Shelui nikifika lita 5
Zitakuhusu
Kuna swali![]()
Vitoto vya shule vishaiba umechelewaAhsanteee
Mi nasubiri mavuno tuu

😂😂😂meza tutanunua mpya.. sarakasi muhimu, nikishindwa naliaaaaEwaaaah haya ndio yaliyo nileta sio sarakasi zako, utavunja meza
Eh...eh.....eh.....eh.......💞💞💞🥰
Printing machine hiyo 😂😂😂Mtoto soft, usafiri umetulia😍
Picha ya sarakasi ikwapi



Ahsante kamanda
Ewaaaah, nauza kibanda cha urithi wajomba watajua pakukaaa 🤣 🤣
Mwanaume mrefu mwembamba 🙈🤐
😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂🤪 tuliaa
Na ka emoj kangu kale nakimbiaaa nafunga mlango
Santo sana mr vocha the great Eng.!😜Eh...eh.....eh.....eh.......💞💞💞🥰
Kaaaaziiii kweli kweli
Wewe ni mrembo madam😍😍
Ahsante sanaaa🙏