Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,865
Online Tv zipo dada 🤪Sina Tv ndani[emoji275]
Online Tv zipo dada 🤪Sina Tv ndani[emoji275]
Unajua naenda shamba la nini?Kila la heri
Mavuno yakikaribia usinisahau
Asante auntMungu wangu
Nini tena kimetokea?
Poleni sana jamani[emoji18][emoji18]
Nakusikiliza katibu wangu wewe ndie mratibu wa kila kitu.... tupange katibuMwenyekiti watu wanapiga sakarasi kwenye meza zetu za mkopo , toa mwongozo!!
La migomba na maparachichi au nimekosea??Unajua naenda shamba la nini?
[emoji3][emoji3][emoji3]nimekuonaOnline Tv zipo dada [emoji2957]
Asante aunt
Nitarudi badae ngoja nipumzike kwanza
PoleniAsante aunt
Nitarudi badae ngoja nipumzike kwanza
Nawasabahi selfikaView attachment 2235962
Sina mpya, me nimevuta kiti kuchungulia yanayojili, Mara pap depal anataka kupiga sarakasi kwenye meza 🤣 🤣Nakusikiliza katibu wangu wewe ndie mratibu wa kila kitu.... tupange katibu
afu sijakuona kitambo hebu tushtue kidogo utuweke sawa karibu ✌️✌️😉
Mapera,migomba,pesheni,[emoji2957]La migomba na maparachichi au nimekosea??
Madam na wewe tumemiss selfie yako
Smoking cigarette is very dangerous to your health..Nawasabahi selfikaView attachment 2235962
😂😂😂😂Sina mpya, me nimevuta kiti kuchungulia yanayojili, Mara pap depal anataka kupiga sarakasi kwenye meza 🤣 🤣
Nimetulia tuliiiiUsiwaze mr vocha usitoke kas hapo Hapo
Mungu ni mwemaMimi nirushie hiyo campari nianze kuongea kiinglish [emoji3][emoji3]
Umepotea sana wige...
Natumaini u mzima...
AhsanteeeMapera,migomba,pesheni,[emoji2957]View attachment 2235963
Kaa kwa utulivuSmoking cigarette is very dangerous to your health..
Drink responsibly..
Usinikalishe kizembe hivo..Kaa kwa utulivu