Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kuku nampelekea TinsleySasa mie na Shelui wapi na wapi?
Nitumie kuku wawili
Kuku nampelekea TinsleySasa mie na Shelui wapi na wapi?
Nitumie kuku wawili
EnsamMwanaume mrefu mwembamba![]()
Stress za? J3 au?😂😂😂🤣🤣🤣
Bana nitumie nione nicheke, leo nna stress
Bado weweAhsante kamanda
🤣🤣🤣🤣Printing machine hiyo 😂😂😂
Kwani niliruka sasa? Si huyo Hustler amenikataza
hhahhaa ...hujatupia kitambo katibu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz tuangalizie angalizie huko kwa gallery jamani!Ewaaaah, nauza kibanda cha urithi wajomba watajua pakukaaa 🤣 🤣
Weee hiyo ina print hatari 😂😂sema ni toleo lile la mwanzo mwanzo 🤣🤣🙈🤸♂️🤸♂️🤣🤣🤣🤣
Inaonekana haijatumika sana, kama brand new. Itakua inafanyiwa service za mara kwa mara.
Usiruke usije ukaumia bure
Selfie zangu ziko kibao sana hapa madamBado wewe
Anza wewe,then mieSelfie zangu ziko kibao sana hapa madam
Na wewe selfika basi
Kaa hapa usitokeAnza wewe,then mie
Huo muda wa kuhangaika na stress za ❤ nautoa wapi😂😂Stress za? J3 au?
Kama ni za ❤️ nitakunyongaaa 😂😂 hizo haziruhusiwi
modo!!! ✌️✌️✌️Go harder .Chekibobu la 2017.View attachment 2235978
Sawa nasimama Kama 1Kaa hapa usitoke


Asante shangazi naomba location nikuletee aunt yetu usie na makuu!😘😘Aisee madam hiyo blauzi naiomba napenda kweli rangi hizo
Umependeza sana dear![]()