Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Nawatakia usikumwema
Mbona mapema?
Nawatakia usikumwema
Usifanye hivyo ndugu mjumbe, meza tumekopa bado hatujamaliza deni 🤣 🤣 🤣Napanda juu ya meza 🤸♂️🤸♂️
😂😂😂Ulimisika
Haya piga sarakasi + selfie
PigaaaaaaaaaaaNataka kupiga sarakasi 🤸♂️🤸♂️
😂😂😂😂😂 tutatop up mkopo, tuliaUsifanye hivyo ndugu mjumbe, meza tumekopa bado hatujamaliza deni 🤣 🤣 🤣
Ewaaaah, toa emoji nilipe sarakasi!!🤸♂️🤸♂️🤸♂️
View attachment 2235956
Imeficha sana visivyofichwaaaNn kimeharibu mkuu!?
Fanya mpango wa vocha ya eatel niselfike basiii jomonii
Mapema sana dogo kulikoni?Muwe na usiku mwema
Sijui kwanini Ila umenifanya nicheke sanaaa 🤣 🤣😂😂😂😂😂 tutatop up mkopo, tulia
Poleni sanaTunamajanga aunt tunaselfika tu kupunguza mawazo
Wanafunz wetu wawili wamefariki na ni familia moja yaan acha
Tumezika lkn hatuna amani![]()
Umejiona vile ushaanza kujazia makaratasi 23.3 😂😂😂Sijui kwanini Ila umenifanya nicheke sanaaa 🤣 🤣
Nipo mdogo wangu Nimefurahi kujua u mwana michezoMadam sijakuona Leo
Tunamajanga aunt tunaselfika tu kupunguza mawazo
Wanafunz wetu wawili wamefariki na ni familia moja yaan acha
Tumezika lkn hatuna amani![]()


Kesho naenda shambaMapema sana dogo kulikoni?
Sina Tv ndaniWeka ITV niko live

Kila la heriKesho naenda shamba
Mwenyekiti watu wanapiga sakarasi kwenye meza zetu za mkopo , toa mwongozo!!Nipo mdogo wangu Nimefurahi kujua u mwana michezo
AsantePoleni sana