Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Ahsante tunaomba nawewe pia uselfike hata mkono tuuNimeona japo wakati nakwoti nikakuta keshafuta.
Kuna mabinti wakali sana hapa we acha tu. Tena hawa wakimya kimya hawa mtu unakuwa unamuona ona tu unamchukulia poa kumbe ni pisi hatari!
Mpaka nimebutwaika yaani!