Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,832
Siku nyingi sana shangazi hujaselfika...Hata haipendezi yaani!Asante mjomba[emoji2][emoji2]
Siku nyingi sana shangazi hujaselfika...Hata haipendezi yaani!Asante mjomba[emoji2][emoji2]
Ewaaaaaaa....💕💕💕Sports lady [emoji3059]
Chakorii nipo vizuri sio mzito View attachment 2235932View attachment 2235933
Sports lady [emoji3059]
Chakorii nipo vizuri sio mzito View attachment 2235932View attachment 2235933
Nimeona japo wakati nakwoti nikakuta keshafuta.Braza na wewe umeona neema za Allah[emoji28]
Mtandao ulitaka kunisaliti
Siku nyingi sana shangazi hujaselfika...Hata haipendezi yaani!
Alayna kuna ujumbe wako hapa kutoka kwa kaka mkubwaNimeona japo wakati nakwoti nikakuta keshafuta.
Kuna mabinti wakali sana hapa we acha tu. Tena hawa wakimya kimya hawa mtu unakuwa unamuona ona tu unamchukulia poa kumbe ni pisi hatari!
Mpaka nimebutwaika yaani!
Sports lady [emoji3059]
Chakorii nipo vizuri sio mzito View attachment 2235932View attachment 2235933
HahahNdio ndiiooooo!!! Asanteeeeehhhhhhhh [emoji3531][emoji3531][emoji8]
Shkamoo mkurugenziMkurugenziiiiii !!! [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Aunt [emoji3059]hujaselfikaMwarabu[emoji7]
Marahabaaaa...Shkamoo mkurugenzi
Neema zipi Tena nimepitwaBraza na wewe umeona neema za Allah[emoji28]
Mtandao ulitaka kunisaliti
Umekuja kivingine shangazi dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Mjomba unakumbuka nakudai unajisahaulisha tu[emoji30]
Aunt [emoji3059]hujaselfika
Umekuja kivingine shangazi dah [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Sijambo kabisa mheshimiwa mkurugenzi,Marahabaaaa...
Asante kwa kuniheshimisha...
Nilikuwa nakusalimia tu [emoji1545]
Kuweka na kufuta ni kakibarua fulani hivi,sijawahigi kukaelewa.[emoji848][emoji853]zimefutwa hivi mnatuchukuliaje sisi ambao toka mwaka juzi picha zetu zipo sefikaaa[emoji51][emoji51][emoji2372]
Asante nawewe pia uselfike sasa💞💞💞💞
Nimeisotea kihalali
Wewe ni balaaa
Ahsante sana🙏🙏