Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ila umemuachia Saint Anne
Yeye mwenyewe kajificha wapi tena??
Mjomba si tulikubaliana kwa majaliwa?
Ungepitishia huko ingekua poa sana


Ila umemuachia Saint Anne
Yeye mwenyewe kajificha wapi tena??


Kesho nitapunguza machungu tunikutumie upunguze machungu
Sasa hivi wa kawaida Kesho asubuhi nikiamka nimeshanenepa😅Mbna sio mnene Sana uko vizuri tu
Maneno na ulivyo ni ni airport na ubungohuyo dawa yake nampashia 😅😅😅 nitamywesha kama ilivyo
Pole dearSasa hivi wa kawaida Kesho asubuhi nikiamka nimeshanenepa![]()
VizuriHuo mkono naujua
Si umesema mkono unaujua!picha full ya nini?Embu nitumie full pic nione unene wako
Pole kwakweliNipo hapa...ila mwili ndio umegoma kabisa.
Kumbe kibonge mwenzanguSasa hivi wa kawaida Kesho asubuhi nikiamka nimeshanenepa![]()



Kama wewe ni mwepesi yes ni mwenzangu..Ila kama umzito!!hapana kwakweli si mwenzako.sipendi kuwa mzitoKumbe kibonge mwenzangu![]()
Anakuwa kama Junia yule wa kwenye UziHamna shida yaani ataenjoy Sana napenda watoto Sana sema asiniletee Mambo ya mamy hawa wageni wasilenitambutua
Ameanza kunihujumu tangu asbhleo nimekuhujumu

Hapa ndio umenena kwa ndimi ya moto sasa 🔥🔥🔥🔥🤪🤪🤪nitakutafutia wa kumkunywa
😅😅😅😅 Nasubiri kibali kutoka kwenu tuMwanafunzi nipo mbele kabisa nasubiri kujifunza![]()
Yaani ukae saa nzima utegemee kuipata?Kuna mtu kashaiwahi jaman![]()






ni shidaMimi pia sio mzito pia sio kibongesana sema Nina kg nyingi japo sio mzembeKama wewe ni mwepesi yes ni mwenzangu..Ila kama umzito!!hapana kwakweli si mwenzako.sipendi kuwa mzito
Hands up, hearts open, wide as the skyThanks
Shusha na mistari ya "Wide as sky"