cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nikupeleke muhimbili au mloganzila?Angalau muambulie maana mlikuwa watupu
Au nianze na dawa tatu kwan?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nikupeleke muhimbili au mloganzila?Angalau muambulie maana mlikuwa watupu
Subiri wazee wa kurefresh walale kwanzaHivi wee vocha ya elf 5 iko wapi? Au nimepitwaaah?
Uwe na usiku mwema bestJmn
Kesho nayo siku
Nuru njemaaa[emoji113]
Mmh basi kuna namnaUnajua ni ajali ya tano mwezi huu kwa feo? Ya mbinga mbeys konda alikufa,,
Aisee msigwa,
Huyu mkewe si waliachana kisa kutaka kumtoa kafara mtoto wao, mke akakataa ndo likaanza seke seke had kuachana, na kuna tetesi ananua watu wa kuwatoa kafara, yaan huyu mbena mweeeh.Unajua ni ajali ya tano mwezi huu kwa feo? Ya mbinga mbeys konda alikufa,,
Aisee msigwa,
Even mi naingia prayerTu discu neno ili tukilala nuru iwe imejaa [emoji2960][emoji2960][emoji2960] alfu kumbe saa nne acha niinge kwa prayer room
Naitaka shoooHutaki wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaaaaah sitaki mie utapewa muongozo uweke wapi.Subiri wazee wa kurefresh walale kwanza
Leo nitaipeleka kule usiku wa manane
Au kule Masihara
Au kule Warembo wakali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji12]
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] twende sasa tukanunue.Naitaka shooo
AhsantePoleni sana
Ndo hivyooo.Mmh basi kuna namna
Kuna namnaMmh basi kuna namna
Amina
Ubarikiwe na wewe pia...
Nakuombea huo upako uendelee kuwepo usipotezwe na kitu chochote kile kinachofanana na nundu ya ng’ombe[emoji2][emoji2]
Mkewe sio mbena au??Huyu mkewe si waliachana kisa kutaka kumtoa kafara mtoto wao, mke akakataa ndo likaanza seke seke had kuachana, na kuna tetesi ananua watu wa kuwatoa kafara, yaan huyu mbena mweeeh.
Ulikuwa kwenye hilo basi mjukuu?Ahsante
😅😅😅 kalala tayari hajala usiku nimempa nakoziHamna namna.
Mpe hi FIB😊
Tuombean asa mtumishi 🤭🤭Even mi naingia prayer
Kesho