Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Duh.. A famous Congolese musician way back 90's.. His famous hits
Ngoma ya Kwetu
Azalakise ewawa etc
Alikuja kukamatwa na madawa kwenye gita lake wakati akitua Ufaransa kwa ajili ya show na kuhukumiwa jela miaka 20.. Alikuja kutoka miaka ya karibuni na nasikia akaanza kuimba gospel
Ooh thank youAhsante sana best
Mtoto mwenye lips za dhahabu![]()
Ah sijaichukua
Tupia basi kapicha mkuu 😍😍Zaman kulikua na ngoma za ukweli sana.
Wanao chukuagua hizi vocha hawasemi kabisa dha 😅😅😅Ah sijaichukua
Nlimquote tu
Hadi mwakan rafik 😂Tupia basi kapicha mkuu 😍😍
Ah sahihiWanao chukuagua hizi vocha hawasemi kabisa dha![]()
Acha basi mkuu.. kutunyanyasaaaaa 🥲🥲Hadi mwakan rafik 😂
Itabidi nianze kutuma pm tu sasa hamna namna😅😅😅Wanao chukuagua hizi vocha hawasemi kabisa dha 😅😅😅
Hadi mwakan rafik 😂
Noo nipo chuoni kwako hapaHapa n IAA?
Tuma tu PM watu wanapiga kimya kimya , shukrani ni jambo zuri sanaItabidi nianze kutuma pm tu sasa hamna namna😅😅😅
Ukitoka hapo pitia kwangu hapaaa 😃😃😃 tupige story storyNoo nipo chuoni kwako hapa
😂😂 Eeh nipo nayemambo ya vimbweta yame nikumbusha mbaaali 😂😂😂😂.. Kwani nawe upo na Big Boy.. au Big Boy wako atoke na FIB na mie nitoke na wewee tyuuu 😅😅😅
Ewaaa haya ndio maneno sasaaa 😃😃😃😂😂 Eeh nipo naye
Nawe njoo naye then wao watatoka kivyao nasi twende zetu tukapate☕
Njoo kwanza af FIB akitoka na Big boy ndio tutaenda kupiga story hapo wenyewUkitoka hapo pitia kwangu hapaaa 😃😃😃 tupige story story