Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,200
Ndo hta mguu jamn Kwan iyo miguu tunatka tupike supu si tunaona 🤣🤣tu BasiYaniiii hata sijui kwanini hawataki kutuma
Ndo hta mguu jamn Kwan iyo miguu tunatka tupike supu si tunaona 🤣🤣tu BasiYaniiii hata sijui kwanini hawataki kutuma
Kweli kabisa... !! Au Hata mkono tu basi!Ndo hta mguu jamn Kwan iyo miguu tunatka tupike supu si tunaona 🤣🤣tu Basi
Anha sawaHizo hizo za zamani zinatufaa kabisa best
Usituache hivi hivi
Oyaa, hiyo avatar ndio vipi? [emoji848][emoji848][emoji848]
😀😀😀
The Golden Rule...So in everything; do to others what you would have them do to you; for this sums up the Law and the Prophets
Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabiiView attachment 2233998
Amen Mtumishi 🙏🙏The Golden Rule...
View attachment 2234006
Ibada njema Mama Mchungaji. Tuombee na sisi...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naona leo umevaa red na mchuchumio as usual. Huko mabegani na mikononi ndo kwenye ufundi wa fundi japo umetuficha...Gojazi as usual [emoji91][emoji91][emoji91]Amen Mtumishi [emoji120][emoji120]
Kwa mbali anafanana na mwenyewe Madilu Multisysteme....Wachache wanamjua huyuView attachment 2234022
Baba Mchungaji yupo hapa, anakusalimia sana. Ni skirt tu na simple top; hakuna maputo juu leo.Naona leo umevaa red na mchuchumio as usual. Huko mabegani na mikononi ndo kwenye ufundi wa fundi japo umetuficha...Gojazi as usual [emoji91][emoji91][emoji91]
Baba Mchungaji yupo? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Haya Msalimie sana Baba Mchungaji. Nitapita kuwaona soon. Hata mkiwa mmesafiri kwenye huduma nitawafuata huko huko.Baba Mchungaji yupo hapa, anakusalimia sana. Ni skirt tu na simple top; hakuna maputo juu leo.
Amen. Ubarikiwe pia 🙏🙏Haya Msalimie sana Baba Mchungaji. Nitapita kuwaona soon. Hata mkiwa mmesafiri kwenye huduma nitawafuata huko huko.
Barikiweni sana na Mungu Azidi kuwatumia kwa kadri ya mapenzi yake [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
MmekumisBaba Mchungaji yupo hapa, anakusalimia sana. Ni skirt tu na simple top; hakuna maputo juu leo.
Miss you more binamu. Fanya uselfike bina, tumekumissMmekumis