Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani aliye juu yetu . x2

Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, waliotengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2

Walipokaribia kambi la Washami;
Washami wakasikia kishindo cha magari.
Kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilizojawa uwezo. x2

Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .

Wahitaji msaada ndugu?
Je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.

Waweza kumuita Elishadai
Waweza kumuita Adonai
Waweza kumuita Elohim
Mungu aliye karibu na watu .

Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda,
Kwa yeye aliye tupenda,
Kwa yeye aliye tupenda. x2
 
Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani alie juu yetu . x2

Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, walio tengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2

Walipokaribia kambi la Washami
Washami wakasikia kishindo cha magari.
kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilijawa uwezo. x2

Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .

Wahitaji msaada ndugu?
je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.

Waweza kumuita Elishadai
waweza kumuita Adonai
waweza kumuita Elohim
Mungu alie karibu na watu .

Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda. x2

Sent using Jamii Forums mobile app
🙏🙏🙏🙏
 
Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani alie juu yetu . x2

Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, walio tengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2

Walipokaribia kambi la Washami
Washami wakasikia kishindo cha magari.
kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilijawa uwezo. x2

Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .

Wahitaji msaada ndugu?
je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.

Waweza kumuita Elishadai
waweza kumuita Adonai
waweza kumuita Elohim
Mungu alie karibu na watu .

Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda, kwa yeye aliye tupenda. x2

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Mchungaji

Kumekucha huku
 
Back
Top Bottom