Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,858
- 136,485
We acha tu,,,,nawaoneaga huruma wanaounga hadi mbamba bay.Unakaa kwa seat had matako yanauma lol,![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
We acha tu,,,,nawaoneaga huruma wanaounga hadi mbamba bay.Unakaa kwa seat had matako yanauma lol,![]()
Wamependeza kweli. Ila sio kwa huo ugali aisee mimi ningepika mbichi na kasoro zianze kutolewa hapo hapo wifi gani hajui kupika.Duh mila hiyo
Naona ipo huko Zambia
Napenda wanavaa vizuri kweli siku ya mahali
Chips kibao kikaangio kidogo yai linaiva kweli?
Ah balaa , probability ya kutoka mbichi ni kubwaWamependeza kweli. Ila sio kwa huo ugali aisee mimi ningepika mbichi na kasoro zianze kutolewa hapo hapo wifi gani hajui kupika.
Hatari sana.Ah balaa , probability ya kutoka mbichi ni kubwa
Ona mfuko wa unga umebaki mdogo kweli
Na walivyo na midomo sasa ..
Pole sana.
Thank you mkuu.Pole sana.
Happy sabbath you all.
Ahsante dearPole mrembo.
Hawatakualika tena, shauri zako.Wikiend hii Nina mialiko miwili afu Sina hela nikuzima simu tu
HahahaHawatakualika tena, shauri zako.
Wanakuambia wanatafuta pesa kwa ajili yao sio kwa ajili ya mwanamke.






khaaah




Ndoa tamuuu.Duuuuh si wanafika asubuh sasa.










wacha bas.