Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani umezidi balaaa ..kuna mwiko pembeni hapo mtu amemsaidia [emoji23]

Ooh wanajua kweli kushona nguo ..
Wapo vizuri
Naona labda anaanza tu mwanzoni kuashiria kwamba anajua kipika...
Halafu wanapokea.

Ila kama ndio anasonga hadi mwisho wallah wazambia watakuwa wauaji[emoji3]
 
oyaaa....[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]YANGA BINGWA
20220521_130429.jpg
 
Itakuwa hivyo
Mambo mengine kwa ajili ya picha tu
Nahisi

Ila wanajua kushona nguo hawa watu[emoji119]

Kuna ndugu yetu aliolewa huko...
Miaka ya nyuma tu alikuwa akija kusalimia analeta vitenge na nguo zimeshonwa hatari.
 
Nahisi

Ila wanajua kushona nguo hawa watu[emoji119]

Kuna ndugu yetu aliolewa huko...
Miaka ya nyuma tu alikuwa akija kusalimia analeta vitenge na nguo zimeshonwa hatari.

Ooh wapo vizuri kwa kweli
Vitenge vyao vizuri pia
 
Ila kukusanyika mahala pamoja ni vyema hata biblia imesisitiza, kuna umuhimu wa cooperate anointing ambayo huwezi ipata popote isipokuwa kwenye gathering ya wana wa Mungu. Ila sio formula kwamba ni lazima.. ila ni vyema unapo enda unaweza wasaidia wengine au wewe pia kupata kitu
Naenda mpendwa ,kkkt ! Acha niendelee kusaidiana hakuna namna
 
Back
Top Bottom