Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,912
- 136,619
Yaani acha tu
Kuna mtu ananichekwsha hapa halima akishinda anazima tv hapo hapo





jamani. Tutafanyaje sasa,wao ndo washaamua hivyoSent using Jamii Forums mobile app
Yaani acha tu
Kuna mtu ananichekwsha hapa halima akishinda anazima tv hapo hapo





jamani. Tutafanyaje sasa,wao ndo washaamua hivyoAkya Nani
Makubwa ya jongo


Ah shida tupu


Hovyo kabisa,nilijua tu watampa wanaomtaka wao,Makubwa ya jongo
Miss wa 2010 yule Genevieve ndo alikuwa chief judge sasa ni karefu ameona Angel mfupi sijui
Amempa mrefu mwenzio .
Ndo maana hatushindi aisee huko miss world
Ah hawawezi kubadilika aisee
Mimi pia ila kalivyoingia sasa nikaona watampa sababu ana ile body ya umiss .
Mimi pia ila kalivyoingia sasa nikaona watampa sababu ana ile body ya umiss .



nimeishiwa pozzzAh balaa
Duh pole
Kuna mmoja huyo alikuwa mrefu hatari,was tanga,,yule alikuwa hana hata point,Ah balaa
Vipi umeme umerudi ?
Ulale unono,,aisee naona wamewashaDuh pole
Hapo hadi asubuhi
Nikutakie usingizi mzuri

Washapindua meza,,,,Bongo bahati mbayaMtu anajibu ovyo hivyo
Angel anajua ngeli huyo halfu confident then pisi kali kweli
huyu ndo miss tanzania?