Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,916
- 147,574
Kura yangu ni kwa jen[emoji1531]Yeah ndo inavyoonekana
Ngoja tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Kura yangu ni kwa jen[emoji1531]Yeah ndo inavyoonekana
Ngoja tuone
Ah kweli ndo kwanza Ben Paul anaimba hapa
Nice
Tuone watafanya haki? Maana hawakawihi kupindua meza.Nice
Ooh wengi wamependeza hao
Top 5 ni hawa
Ah noma
Looooh wamesha piga mikasi[emoji54][emoji54]Top 5 ni hawa
Ruth Anthony
Angel Alfred
Otaigo mwema
Halima
Beatrice Alex
Ah nomaa aisee
Ah kweli
Kachangamfu sanaAh nomaa aisee
Huyu halima anapendwa anaweza ingia top 3
Tena akautwaa kabisa umiss
Aisee,Ah kweli
Nimemuonea huruma Nasra alikuwa amepata mataji 3 ila hajaingia top 5
Ndo huyu eeh
Nazmizya yule kama bonge ana sura pana, top 10,alitoboa??Tena akautwaa kabisa umiss
Ana body nzuri
Wameaanza maswali
Ni huyo nasra,,,,hakuna haki hapoNdo huyu eeh
Wengine wamewaweka basi tu
Ah hapana hakupita
Wamejibu maswali
Yule angepita[emoji23][emoji23][emoji23],nilitaka nishangaeAh hapana hakupita