Selfika na JF: Snap it. Show it

Mradi panafikika ndio la muhimuuu

Huko mbali ndio kwenyew, hamna watu wengi. Full kuskia milio ya ndege tu wakitumbuiza😊
😀😀😀😀 hapo tukienda tunapumzika wiki mbili kabisa maana sio kwa umbali uliopo na ukijificha huko hushuki chini maana na mlimani juu kabisaaa ... na mahala pa kuishi ni kati kati ya mlima umezingukwa na msituu tuu
 
😅😅😇 Asie na mwana kesho abebe jiwe tu limpe faraja 😀😀😀🤭.. ka FIB kamelala tayari ila zimefika
🤣🤣🤣🤣🤣 hamna namna

Ndio unakalinda sio😛 kanaenjoy.
Asbh muandalie breakfast on bed, siku yenu ya kujidaii
 
😀😀😀😀 hapo tukienda tunapumzika wiki mbili kabisa maana sio kwa umbali uliopo na ukijificha huko hushuki chini maana na mlimani juu kabisaaa ... na mahala pa kuishi ni kati kati ya mlima umezingukwa na msituu tuu
Duuuh ndio maana baridi basi, sasa kuna usafiri wa kufika huko au tunatembea kupanda milima?🙆‍♀️
 
🤣🤣🤣🤣🤣 hamna namna

Ndio unakalinda sio😛 kanaenjoy.
Asbh muandalie breakfast on bed, siku yenu ya kujidaii
😀😀😀 Kila mtu kalala chumbani kwake.. wafalme wanalala na wenza wao kipindi maalumi tu sio kila siku 😺😺😺😺😺 na kamezoe tayari kila mtu kulala gheto lake mshari anamfata mwenzake mkiona hakuna kufatana basi fresh 😅😅😅😅
 
Duuuh ndio maana baridi basi, sasa kuna usafiri wa kufika huko au tunatembea kupanda milima?🙆‍♀️
Gari zinapanda vizuri 😀😀😀 baridi lipo kali sana.. napapenda ikifika usiku kunakuwa na giza moja matataaa sanaaa hadi rahaaa alafu kimyaaaa 😀😀😀 hapo huwa naenjoy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…