Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie pia nimeambiwa nichague kigauni kizureeeeeeee cha birthday ila mi kisiwe cha kushona muda hautatosha!! sijui kiwe cha rangi gani Heaven Sent Fashionist ushauri wako pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Nimeona hapo chini umechagua lavender yes itakupendeza sana kwa rangi yako na hata pia kwa watu ambao mna Utulivu kama wewe, sio Coca🀣🀣

Changamoto kidogo nafikiri itakuwepo kwenye kupata ready made dress ya attire. Si unajua hizi rangi classic sana, haziwi nyingi unlike rangi zetu za kisukuma. Labda uanze kutafuta gauni mapema sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Hujaopoa m1? Au unaogopa kurogwa? Maana wa mama wa vijijini lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£Wee vijijini wanatuogopaje wafanyakazi !! yani unaeza kuta mtu mkubwa karibia na mama yako anakuamkia unabaki kutoa macho tu!!
Wazazi Wakija shule wanakua na nidhamu kama yote!
 
Wamepaweka kitamaduni, simple n classic😍
Panavutia, nimependa hyo bathroom😊
Uzuri wa bathroom ( heater zao kubwa unaweza kaa nusu saa maji ya moto hayaishi na utamu mwingine kuna kioo kikubwa chini kuna bondee.. unaoga huku unapata view nzuriii unaweza kaaa huko bafuni hadi ukasahahu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Wee vijijini wanatuogopaje wafanyakazi !! yani unaeza kuta mtu mkubwa karibia na mama yako anakuamkia unabaki kutoa macho tu!!
Wazazi Wakija shule wanakua na nidhamu kama yote!
Bosi Ledi. Sijaambulia kitu. Nimekuta manyoya kila mahali. Waweza kufanya wema kidogo kabla hujalala?
 
Ngoja niongee na boss nifanye makeke wiki hii birthday mi next week!! Enhee ya kuchanua au ya kubana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie rangi gan itanifaaa? Mbna mnanichanganya sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie rangi gan itanifaaa? Mbna mnanichanganya sasa.
Lavender ni rangi nzuri ila ya Utulivu. Plus wewe si ndiyo designer??? Hiyo rangi imevalika sana last year hata this year; designer lazima uje na kitu Cha tofauti. Ungekuwa mgeni wa kawaida tu afu sio kwa jump suit hiyo ingekuwa sawa
 
Basi kaa kwa kutulia. Kesho tutafute color fulani hivi ya kijanja afu unique
Weuweeeeeeh,. Yaan mama malezi fanya kuleta color ambayo nikiingia ukumbini, watu wanitazame mie tyuuh.

Waseme kuna ingizo jipya town, nikitoka hapo tayar maarufu.
Woiiiiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…