Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
😺😺😺😺 umeona mie mgomvii eeh😬😬
😺😺😺😺 umeona mie mgomvii eeh😬😬
Ahsanteeeeeh shouzzzz ake, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Huna mbambamba, umenyooka km ruler. [emoji8][emoji8][emoji8]
Mm kamati ya chakula kwakweli ndo mamboyangu mc siuwez kujielezea mwenyew tu na maishayangu changamoto🤣🤣🤣Au nasema uongo ndugu mc[emoji3]
Ukaona mizinguoAh shida tupu
Ile ya Zuchu nilisema hii noma aisee nikaenda zangu kulala
Yaan i wish kweli ila hiyo ya pili ni kucroch naskia ukisuka zinauma kweliAh nzuri sana
Ukipata msusi akupatie vyema unatoka chicha mno
Nimepitwaaaa? Khaaahwapi twin akeeeeeeeeehhh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji3531]!! !![emoji12][emoji12]
Yeah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemmisi mpaka basi hapa nataka niombe ruhusa nikamuone hata siku mbilitatu tukafanye fujo Huko aliko!
Weekend imeanza.
Bado hajatupia!!Fanya kumuita ajeWeee nmepitwaa?hebu nimuone shemeji. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
😀😀 Big boy eeeh muombe ruhusa basi tukatembee Arusha😋😋😋
Jaman nilikua busy na Big boy, si unajua mambo ya weekend😛
Nawe pia.
Kikubwa kusikia tu,nani kashinda,,,,,naenda zangu kulala.Yeah
Usingizi muhimu kwa afya