Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,973
- 177,190
Nipo hapa nimekaa kiutulivu kabisa dear.... hao wawe wapole tu trrrreeaaaaaaahhh watulieeeeee!!😘🤣🤣🤣🤣🤣 Kaa kwa kutulia Uzi utatetreeemaaaa...😂😂😂😂 malaika wa zamu wapate jipya la kuongea

Yakichemka anaweka sukari anakunywaa 😎😎
Sina la kuongezaUkiangalia Ufunuo 12 : 7 - 12 ( Inajieleza vizuri sana, Shetani na malaika hawana tena nafasi mbinguni ), biashara ya Shetani kwenda na umbeya ilizimwa tu pale baada ya Yesu Kristo kumwaga damu ( damu inaneyo mema ) na baada ya hilo tukio shetani hakuwa na nafasi tena mbinguni.
Ukiangali kwenye kitabu cha Ayubu ( Job ) ni kitabu cha kwanza kabla ya Mwanzo ( Genesis ) kuna case unaiona katika Mwanzo sura ya sita inayo husiana na wana wa Mungu ( Sons of God ) ambayo ni moja ya aina za malaika, hawa malaika walikuwa assigned duniani kwa kazi ambazo guardian angel wanazifanya ( haikuwa intention ya Mungu mwanadamu awe guided na malaika ila baada ya utukufu kushuka wa mwanadamu Mungu akaona okay sasa nawapa hawa malaika...
Ukirudi back hawa malaika walikuwa wana assignment , walikuwa wana present daily report kwa Mungu, Utakuja kujiuliza why ? Shetani aliingia kati yao na ilikuwaje ? Na kwanini shetani hakuibuka kipindi hao hawapo ? Biblia inasema shetani ni mshitaki wetu kipindi malaika wanakusanya taarifa na kuziwakilisha kuna taarifa ambazo zilikuwa na dosari ambazo shetani alikuwa anatumia kama advantage kushtaki wakati huo, wale walipo kuwa wakipeleka hizo taarifa shetani alikuwa legal ana haki ya kufatana nao kupinga baadhi ya taarifa ili hukumu ifanyike na ndipo hapo.. balaa likaaanza ( nyakati hizo Sons of God taarifa za Job ) zilikuwa vyemaa tuuu nzuri sana, shetani alikuwa wengine anawashitaki ila ikija kwa Job anakosa shtaka mzbele za Mungu
Kama unaniruhusu niendelee kwanza Mwana wa Mungu nisije andika nikakosa mtiliko mzuri au nikaosa kujibu swala lako vyema
ila kwa ufupi kwa sasa hivi shetani hana nafasi yake kule na damu ya Yesu imevunja access ambayo alikuwa nayo kwa sasa hivi kakalia kuti kavu![]()
Baba PastaaaaaUkiangalia Ufunuo 12 : 7 - 12 ( Inajieleza vizuri sana, Shetani na malaika hawana tena nafasi mbinguni ), biashara ya Shetani kwenda na umbeya ilizimwa tu pale baada ya Yesu Kristo kumwaga damu ( damu inaneyo mema ) na baada ya hilo tukio shetani hakuwa na nafasi tena mbinguni.
Ukiangali kwenye kitabu cha Ayubu ( Job ) ni kitabu cha kwanza kabla ya Mwanzo ( Genesis ) kuna case unaiona katika Mwanzo sura ya sita inayo husiana na wana wa Mungu ( Sons of God ) ambayo ni moja ya aina za malaika, hawa malaika walikuwa assigned duniani kwa kazi ambazo guardian angel wanazifanya ( haikuwa intention ya Mungu mwanadamu awe guided na malaika ila baada ya utukufu kushuka wa mwanadamu Mungu akaona okay sasa nawapa hawa malaika...
Ukirudi back hawa malaika walikuwa wana assignment , walikuwa wana present daily report kwa Mungu, Utakuja kujiuliza why ? Shetani aliingia kati yao na ilikuwaje ? Na kwanini shetani hakuibuka kipindi hao hawapo ? Biblia inasema shetani ni mshitaki wetu kipindi malaika wanakusanya taarifa na kuziwakilisha kuna taarifa ambazo zilikuwa na dosari ambazo shetani alikuwa anatumia kama advantage kushtaki wakati huo, wale walipo kuwa wakipeleka hizo taarifa shetani alikuwa legal ana haki ya kufatana nao kupinga baadhi ya taarifa ili hukumu ifanyike na ndipo hapo.. balaa likaaanza ( nyakati hizo Sons of God taarifa za Job ) zilikuwa vyemaa tuuu nzuri sana, shetani alikuwa wengine anawashitaki ila ikija kwa Job anakosa shtaka mzbele za Mungu
Kama unaniruhusu niendelee kwanza Mwana wa Mungu nisije andika nikakosa mtiliko mzuri au nikaosa kujibu swala lako vyema
ila kwa ufupi kwa sasa hivi shetani hana nafasi yake kule na damu ya Yesu imevunja access ambayo alikuwa nayo kwa sasa hivi kakalia kuti kavu 🙏
Unaweza ongeza, tukaendelea kujawa nuru zaidi kwa nafsi zetu na moto ..Sina la kuongeza
😍😍😍😍😍.....eeeendiwooooooooo....🤗Nipo hapa nimekaa kiutulivu kabisa dear.... hao wawe wapole tu trrrreeaaaaaaahhh watulieeeeee!!😘
Sitoki hapa leo mana sitaki kusimuliwaaa kabisa mie!!!😉😍😍😍😍😍.....eeeendiwooooooooo....🤗
Mada za namna hii zina kupendeza sana kuliko zilee za mizaga.. sijui niniUkiangalia Ufunuo 12 : 7 - 12 ( Inajieleza vizuri sana, Shetani na malaika hawana tena nafasi mbinguni ), biashara ya Shetani kwenda na umbeya ilizimwa tu pale baada ya Yesu Kristo kumwaga damu ( damu inaneyo mema ) na baada ya hilo tukio shetani hakuwa na nafasi tena mbinguni.
Ukiangali kwenye kitabu cha Ayubu ( Job ) ni kitabu cha kwanza kabla ya Mwanzo ( Genesis ) kuna case unaiona katika Mwanzo sura ya sita inayo husiana na wana wa Mungu ( Sons of God ) ambayo ni moja ya aina za malaika, hawa malaika walikuwa assigned duniani kwa kazi ambazo guardian angel wanazifanya ( haikuwa intention ya Mungu mwanadamu awe guided na malaika ila baada ya utukufu kushuka wa mwanadamu Mungu akaona okay sasa nawapa hawa malaika...
Ukirudi back hawa malaika walikuwa wana assignment , walikuwa wana present daily report kwa Mungu, Utakuja kujiuliza why ? Shetani aliingia kati yao na ilikuwaje ? Na kwanini shetani hakuibuka kipindi hao hawapo ? Biblia inasema shetani ni mshitaki wetu kipindi malaika wanakusanya taarifa na kuziwakilisha kuna taarifa ambazo zilikuwa na dosari ambazo shetani alikuwa anatumia kama advantage kushtaki wakati huo, wale walipo kuwa wakipeleka hizo taarifa shetani alikuwa legal ana haki ya kufatana nao kupinga baadhi ya taarifa ili hukumu ifanyike na ndipo hapo.. balaa likaaanza ( nyakati hizo Sons of God taarifa za Job ) zilikuwa vyemaa tuuu nzuri sana, shetani alikuwa wengine anawashitaki ila ikija kwa Job anakosa shtaka mzbele za Mungu
Kama unaniruhusu niendelee kwanza Mwana wa Mungu nisije andika nikakosa mtiliko mzuri au nikaosa kujibu swala lako vyema
ila kwa ufupi kwa sasa hivi shetani hana nafasi yake kule na damu ya Yesu imevunja access ambayo alikuwa nayo kwa sasa hivi kakalia kuti kavu 🙏
Kutokana na swali lake mpendwa,naona majibu ni mazuri tuUnaweza ongeza, tukaendelea kujawa nuru zaidi kwa nafsi zetu na moto ..
Pole, tumia browser mkuuDuh jmn
Sipati notification
Hata Niki refresh nothing!
Au ndo madhara ya tecno jmn
Duh hata sielewi mbona kwamba natumia nnPole, tumia browser mkuu

Unatumia JF App au browser?Duh hata sielewi mbona kwqma natumia nn
Msaada tafadhali
🙏🙏 ✍️✍️✍️✍️ hizo soon naacha masihara masihara 😀😀😀Mada za namna hii zina kupendeza sana kuliko zilee za mizaga.. sijui nini
Katisha sanaBaba Pastaaaaa
Mrembo wa JF 😍👐
Wauweeeehhhhh!!!! Santo sana mamboz yameanza sasa!!
Sanaaaa. We need thisKatisha sana
Hizi ndo mada tamu
Mbona kuguna wizo?