Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante Baba Mchungaji...

Wachungaji wa siku hizi hawa manabii na mitume wengi wamejikita kwenye injili ya utajirisho (prosperity gospel) na ni nadra sana kusikia tena nguvu ya msalaba wala damu ya Yesu dhidi ya dhambi za mwanadamu. Makanisa mengi sasa yamegeuka na kuwa ofisi za wanasaikolojia ambako watu wanakwenda kupunguziwa mizigo yao japo kwa muda tu ili wajisikie vizuri. Permanent baby Christians. Ukiwahubiria mambo magumu ya kutubu dhambi, kujikana nafsi na kujitwisha msalaba wa Yesu kila siku wanakukimbia. Ndiyo maana wanasaikolojia hawa wa kiroho kama Joel Osteen wamefanikiwa sana.

Tusiwalaumu. Labda ndiyo maono yao waliyopewa. Bila shaka utakaporudi Ethiopia utasimama katika kweli na kuihubiri injili ya kweli ngumu - injili ya nguvu ya msalaba na damu ya Yesu katika kutuondolea dhambi. Unayo kazi nzito mbele yako. Jiandae vizuri ewe Jemedari wa Bwana!
Kuna huyu anaitwa Joseph Prince, baba anafundisha sana. Imebidi vipindi vyake niwe naviwekea alarm kwenye TBN nisipitwe na mafundisho yake.
 
Watu wanapenda sana miujiza. Ndio maana kuna wachungaji fake wanatengeneza shuhuda za uongo iki kupata attention ya washirika wao.
Kwenye masuala ya kiroho hakuna kitu kizuri kama kujaa neno, huwezi yumbishwa na kitu chochote.
Watu wanaabudu wanadamu bila kujua.
Kuna video inazunguka Mtume na nabii mmoja "akimfufua" mfu mmoja huko Morogoro vijijini yaani ni vituko tupu.

Wewe si ulikuwa umekufa wewe?
Ndiyo
Ilikuwaje mpaka ukafa?
Nilichukuliwa msukule
Imekuwaje uko hai?
Umenifufua
Umejisikiaje nilipokufufua
Umenifufua

Pigeni makofi na vigelegele
 
Mkuu sio kwamba mafundisho ya kweli hayapo, bali kwa sababu ya watu waliowengi kupenda miujiza ndio maana kuna baadhi ya mitume na manabii wa uongo (kama ilivyoandikwa) wanatumia huo mwanya kuvuna washirika. Watu
Wachache sana wamejaa neno ambao wana uwezo wa kuzipima roho za hao manabii wa uongo.
Mimi siwezi kuabudu sehemu ambayo haina mafundisho ya kweli.
Yani mtu na akili zako ukaanze kukanyaga chumvi?
Unajua ile kwamba kuna manabii wa uongo km ilivyoandikwa haina maana hakuna wa kweli!
Wapo wengi tu!

Na kumbuka Mungu hafungwi kiutendaji!
Yaani Mungu ana njia nyingi tofauti,shida tuna namna zetu ambazo tunaona hapa kweli ni Mungu hapa sio!tumemywekea mipaka.
Ndo maana wanapotokea watumishi wa Mungu wanaotumika kwa viwango vya juu tofauti na mapokeo na tunavyofikiri tunadhani ni waongo!

Neno la Mungu lazima liambatane na udhihirisho wa nguvu za Mungu,kwa uwezo wa Roho Mtakatifu!
Nje ya hapo haina maana hata halisaidii!
Ndo maana mahubiri,mafundisho mengiii lkn hatuoni mabadiriko sbb hakuna pumzi ya Mungu ndani ya neno linaloachiliwa!

Kwahiyo anapotokea mtumishi akahubiri,fundisha neno na nguvu za Mungu zikiambatana na neno,na watu ambao wana mapokeo hawamuelewi,wanaona km uchawi! No!
Yaani ufunuo ni ufunuo tu,hata km Mungu kasema wape maji ndo hivyo!

To me uwe kukanyaga nn,sijui nn,I don't care ili mradi iwe ni RM kaleta huo ufunuo na nitajua tu!

Mtu anaweza akahubiri hilo neno unalosema la kweli lkn akawa anatumia madhabahu isiyo ya Mungu unajua hiyo?
Cheki ufunuo 2:13....
 
Kuna huyu anaitwa Joseph Prince, baba anafundisha sana. Imebidi vipindi vyake niwe naviwekea alarm kwenye TBN nisipitwe na mafundisho yake.
Prince ameisoma sana Biblia tena katika lugha mbalimbali zikiwemo Kiebrania na Kigiriki cha kale. Anakupa mitazamo mbalimbali tena kwa undani sana. Ushindwe mwenyewe tu yaani...
 
Umesema kweli. Kukiwa na semina ya Neno la Mungu (kujifunza tu neno la Mungu) watu hata hawaji. Tangaza sasa kuna maombi na maombezi. Au Ile tu semina; muda wa neno watu hata hawajali; ufike muda wa maombi sasa afu waambiwe Mtumishi atamuombea mtu mmoja mmoja weeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka
Eti waambiwe mtumishi ataombea.,mtu mmoja mmoja
Hapa nawalaumu wachungaji,hawawafundishi watu kujitegemea kuomba wenyewe,badala yake wanataka wawe wanategemewa wao tu ndo wamezaa wakristo wa aina hii,wa kutegemea kuombewa tu!
Sipendi hiki kitu
 
Watu wanapenda sana miujiza. Ndio maana kuna wachungaji fake wanatengeneza shuhuda za uongo iki kupata attention ya washirika wao.
Kwenye masuala ya kiroho hakuna kitu kizuri kama kujaa neno, huwezi yumbishwa na kitu chochote.
Watu wanaabudu wanadamu bila kujua.
Miujiza,ishara haina shida,Mungu ana makusudi yake kuweka !
Shida ni namna watu wanavyoivhukulia,na walivyofundishwa!

Kila kitu kina sehemu yake lkn kisiwe ss km ndio Mungu kianze kuabudiwa
 
Unajua ile kwamba kuna manabii wa uongo km ilivyoandikwa haina maana hakuna wa kweli!
Wapo wengi tu!

Na kumbuka Mungu hafungwi kiutendaji!
Yaani Mungu ana njia nyingi tofauti,shida tuna namna zetu ambazo tunaona hapa kweli ni Mungu hapa sio!tumemywekea mipaka.
Ndo maana wanapotokea watumishi wa Mungu wanaotumika kwa viwango vya juu tofauti na mapokeo na tunavyofikiri tunadhani ni waongo!

Neno la Mungu lazima liambatane na udhihirisho wa nguvu za Mungu,kwa uwezo wa Roho Mtakatifu!
Nje ya hapo haina maana hata halisaidii!
Ndo maana mahubiri,mafundisho mengiii lkn hatuoni mabadiriko sbb hakuna pumzi ya Mungu ndani ya neno linaloachiliwa!

Kwahiyo anapotokea mtumishi akahubiri,fundisha neno na nguvu za Mungu zikiambatana na neno,na watu ambao wana mapokeo hawamuelewi,wanaona km uchawi! No!
Yaani ufunuo ni ufunuo tu,hata km Mungu kasema wape maji ndo hivyo!

To me uwe kukanyaga nn,sijui nn,I don't care ili mradi iwe ni RM kaleta huo ufunuo na nitajua tu!

Mtu anaweza akahubiri hilo neno unalosema la kweli lkn akawa anatumia madhabahu isiyo ya Mungu unajua hiyo?
Cheki ufunuo 2:13....
Uko sahihi lakimi kwanza tunatakiwa kufahamu msingi wa Manabii na Mitume. Ukishajua misingi ya hao watumishi wa Mungu utakuwa huru (fahamu kweli nayo kweli itakuweka huru).
Pia kumbuka ufunuo unakuja mara moja na haujirudii. Huwezi kuni convince kabisa kuhusu kulanyaga chumvi sijui na maji ya upako, and the like! Hata Musa wakati wa safari ya wana wa Israeli alikuwa anapata mafunuo specific na akishatumia mafunuo hayo hayajirudii tena. Tunajifunza pia kwa Yesu nae alikuwa anatumia mafunuo specific kwa case maalumu. Hakuna ufunuo wowote ambao unajirudia. Ukiona ufunuo umejirudia basi kuwa na maswali.
Sasa hii ya maji, chimvi, cake, sijui vitambaa, nk. imekuwa ndio ibada sasa. Haina tofauti na waabudu sanamu.
Tuutafute kwanza ufalme wa Mungu hayo mengine (miujiza) itatokea tu. Hakuna haja ya kukimbizana na miujiza.
 
Asante Baba Mchungaji...

Wachungaji wa siku hizi hawa manabii na mitume wengi wamejikita kwenye injili ya utajirisho (prosperity gospel) na ni nadra sana kusikia tena nguvu ya msalaba wala damu ya Yesu dhidi ya dhambi za mwanadamu. Makanisa mengi sasa yamegeuka na kuwa ofisi za wanasaikolojia ambako watu wanakwenda kupunguziwa mizigo yao japo kwa muda tu ili wajisikie vizuri. Permanent baby Christians. Ukiwahubiria mambo magumu ya kutubu dhambi, kujikana nafsi na kujitwisha msalaba wa Yesu kila siku wanakukimbia. Ndiyo maana wanasaikolojia hawa wa kiroho kama Joel Osteen wamefanikiwa sana.

Tusiwalaumu. Labda ndiyo maono yao waliyopewa. Bila shaka utakaporudi Ethiopia utasimama katika kweli na kuihubiri injili ya kweli ngumu - injili ya nguvu ya msalaba na damu ya Yesu katika kutuondolea dhambi. Unayo kazi nzito mbele yako. Jiandae vizuri ewe Jemedari wa Bwana!
Kwenye zile huduma 5, kila mmoja ana namna yake alivyoitwa na ana maelekezo yake ya namna gani anatakiwa kutumika!
Lkn Roho ni yule yule,hatufanani! Na kila nafasi INA mafuta (anointing) yake!

Injili ya utajiri sio mbaya,Mungu hataki tuwe masikini,lzm tumtolee kumbuka!
Issue ni kuhubiri utajiri bila kuwaleta watu kwa Yesu ,shida inaanzia hapo!
Wahubiri hayo mafanikio lkn lzm wawambie watu kuwa utajiri bila Yesu ni bureee
 
.. Kama umenielewa asante sanaa
Mpendwa!
Nilishapita level za mapokeo, sijui nn huko siwezi yaani!au kumtegemea mtumishi...makanisa mengine hawakunielewa waliona sitaki kumtegemea mchungaji km nabeza hivikumbe wala!
Mie hata kanisani huwa naona uvivu kwenda!
Sioni kile ambacho Mungu anataka,eti unahubiri unamaliza hakuna kuwaambia watu habari za wokovu,waje kwa Yesu? Halafu unasema ulikuwa ibadani?no!

Acha nipambane na hali yangu nipewe maelekezo ya nilichoitiwa!
 
Back
Top Bottom