Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani mimi naona browser ndio naifaidi JF vizuri
Browser mi siwezani nayo kabisa. Huwa naitumia mara moja moja tu hasa nikitaka kupandisha attachments hasa vitabu na tuvideo tufupi fupi...

 
Nimeelewa Baba Mchungaji. Kwamba "ushikaji" huu wa Mungu na Shetani wa kukaa na kupiga stori uliwezekana tu kabla ya dhabihu ya damu ya Yesu pale msalabani na tangu tamko la "Imekwisha" liliporindima katika kilima cha Golgotha shetani alikatiliwa mbali mazima pamoja na genge lake la vijana wa hovyo na hana access tena na mbingu.

Uko vizuri sana sema tu kichwa chako kina mambo mengi sana na wakati mwingine kinapata moto. Itabidi uanze kutulia sasa ili safari ya kurudi Ethiopia isije ikachelewa. Mungu na Akusaidie
Amen. Ndio Mwana wa Mungu. Pale msalabani kuna mambo mengi sana ( spiritual yalitokea baada ya ile kauli ya imekwisha ) ndio maana unaona hata jua lilipatwa na giza likazima kwa masaa matatu ( masaa matatu kulikuwa na shughuli kubwa sana katika ulimwengu wa roho katika ukombozi wa mwanadamu ). Msalaba umebeba deep mysteries ambayo wachungaju wengi wameacha mafundisho yake ni wachache sana ambao unaweza kutana nao leo wakafundisha the mysterious behind the cross
 
Back
Top Bottom