Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,055
Barikiwa kwa hilo!! Zile waachie kina wige!✌️✌️🙏🙏 ✍️✍️✍️✍️ hizo soon naacha masihara masihara 😀😀😀
Barikiwa kwa hilo!! Zile waachie kina wige!✌️✌️🙏🙏 ✍️✍️✍️✍️ hizo soon naacha masihara masihara 😀😀😀
Ukichachuka sasa...🙏🙏 ✍️✍️✍️✍️ hizo soon naacha masihara masihara 😀😀😀
Beautiful
Hata mimi kwenye app notifications zimekata...na browser siwezani nayo kabisaa....Duh jmn
Sipati notification
Hata Niki refresh nothing!
Au ndo madhara ya tecno jmn
Kwakuwa mmesema mama zangu, acha nikae kwenye mstari mwema ✍️✍️Barikiwa kwa hilo!! Zile waachie kina wige!✌️✌️
I think jf AppUnatumia JF App au browser?
Itapendeza sana ulitendee jina la baba pasta haki🙏🙏🙏🙏 ✍️✍️✍️✍️ hizo soon naacha masihara masihara 😀😀😀
Kumbe na wwHata mimi kwenye app notifications zimekata...na browser siwezani nayo kabisaa....
AsanteBeautiful
Nimeelewa Baba Mchungaji. Kwamba "ushikaji" huu wa Mungu na Shetani wa kukaa na kupiga stori uliwezekana tu kabla ya dhabihu ya damu ya Yesu pale msalabani na tangu tamko la ushindi la "Imekwisha" liliporindima katika kilima cha Golgotha na mabonde yake shetani alikatiliwa mbali mazima pamoja na genge lake la vijana wa hovyo na hana access tena na mbingu....
ila kwa ufupi kwa sasa hivi shetani hana nafasi yake kule na damu ya Yesu imevunja access ambayo alikuwa nayo kwa sasa hivi kakalia kuti kavu [emoji120]
Sijawai tumia App toka nimeijua Jf toka . Mie ni browser na nikimaliza na clear kila kitu nikirudi nina login tena maisha yangu yote ya kutumia jf yamekuwa hivyoHata mimi kwenye app notifications zimekata...na browser siwezani nayo kabisaa....
Kabisa baba pasta!!
HahaaaMbona kuguna wizo?
Na ikawe hivyo
Asante madamWauweeeehhhhh!!!! Santo sana mamboz yameanza sasa!!
Umependeza!
Amen [emoji120][emoji8]Mrembo wa JF [emoji7][emoji114]
Amen!!Kwakuwa mmesema mama zangu, acha nikae kwenye mstari mwema ✍️✍️
NimechekaaMpendwa. Picha hata sekunde mbili haijakaa. Imenigomea kwenye app huyo nakimbia kwenye browser nakuta ishafutwa. Siyo fair [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2232151