SELF DEFENCE, jiandae kwa dharura muda wowote

strugo

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,240
2,000
Ninacho amini hata ungekuwa na silaha mwili mzima inshu ya msingi ni jinsi gani hormone zako zimepokea mshituko wa kutekwa

Kwa watoto wa kiume kidogo wanaweza kujinasua lakini hawa waogopa panzi na mende sidhani
Wao walishazoe kuchuliwa hata pochi na kindagate
 
Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
26,113
2,000
SELF DEFENCE USIKAE KINDEZI NDEZI

1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kma speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kma husomi weka peni mfukoni kma huna siraha nyingine.

2-Hata kma huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yyte sepa

3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .

4- Usisahau nguo nzito kma blanket na maji incase of fire.

5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehem moja lisaa lizima tena kiboya boya ad wahuni wajue we mgeni.

7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subir kwanza au tafuta njia nyingine.

8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja iyo iyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.

9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kua kma mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.

10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika

11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.

12-- kma hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia

NB: NI KWA WEMA TU, USITUMIE VIBAYA.NISHUKURU BAADAE
ONGEZA NYINGINE

Mjumbe hauawi!
 
Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,478

YOTE YA YOTE
HAKIKISHA UKO VIZURI KWA MBIO,
KWENYE DHARURA YOYOTE INAYOHITAJI KUTOKA NDUKI- USIREMBE,
TOKA NDUKI KABISA
MBIO ZA UKWELI !!!
 
No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,674
2,000
Unatembea hata buku huna mfukoni halafu umeulamba km profesor si ukae home tuu,watoto wazuri siku hizi wakikupenda wanafunguka halafu we hata nauli huna.
 
PILOT 7

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
1,209
2,000
Naongeza Machache

1.Unapoongea Na Watu Usiwatazame Kwenye Macho Tazama Juu ya Paji La USo

2.Usianzishe Ugomvi Ambao Huu wezi Ukikushinda Ni Fedheha

3.Ukimkuta Mkeo Anakusaliti Mfukuze Siku hiyo hiyo Usiangalie Nyuma mlipotoka Utamuonea huruma

4.Futa Ushahidi Kwenye Kila Tukio Unalofanya Usimuamini Kila Mtu Black Can Be White , Can Be Black It's Just A Colour

5.Tumia Condom Hata Demu Awe Mzuri Kama Beyonce Tumia Condom Kuzaliwa ni Mara Moja Na Kufa Ni Mara Moja.

6.Ukiwa Na Stress Tuliza Akili Sikiliza Tune ya Ubongo Wako Inakutaka Nini epuka Kunywa Kupita Kiwango

7.Usiishi Kizembe Penda Kujichanganya Na Jamii Yako Utajua Mengi Ukijifanya Kauzu Utafichwa Mengi

8.Ukipta Mda Uwe Unapitia Old Post za JF za Kale Ni Dhahabu

"Nawasilisha I Stand To Be Corrected"

"Nawasilisha@m G00d Br0ther
 
syllae

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,790
2,000
SELF DEFENCE USIKAE KINDEZI NDEZI

1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kma speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kma husomi weka peni mfukoni kma huna siraha nyingine.

2-Hata kma huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yyte sepa

3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .

4- Usisahau nguo nzito kma blanket na maji incase of fire.

5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehem moja lisaa lizima tena kiboya boya ad wahuni wajue we mgeni.

7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subir kwanza au tafuta njia nyingine.

8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja iyo iyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.

9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kua kma mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.

10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika

11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.

12-- kma hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia

NB: NI KWA WEMA TU, USITUMIE VIBAYA.NISHUKURU BAADAE
ONGEZA NYINGINE
 
Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,664
2,000
02dc4ed538e729cf7723d2b76063c466.jpg

Imeshasafishwa hapo
 
usernameyangu

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
252
500
#SELF_DEFENCE_USIKAE_KINDEZI_NDEZI

1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kama speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kama husomi weka peni mfukoni kama huna silaha nyingine.

2-Hata kama huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yeyote sepa.

3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .

4- Usisahau nguo nzito kama blanket na maji incase of fire.

5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehemu moja lisaa lizima tena kiboya boya hadi wahuni wajue we mgeni.

6-Uwe na mbio maana kuna time ndio zinakuwaga suluhisho

7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huwaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subiri kwanza au tafuta njia nyingine.

8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja hiyo hiyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.

9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kuwa kama mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.

10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika

11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.

12-- kama hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia

NB: NI KWA WEMA TU, USITUMIE VIBAYA.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom