SELF DEFENCE, jiandae kwa dharura muda wowote

Self defence ni muhimu sana, Ingawaje kujulikana kuwa una miliki Silaha tayari wewe ni target., sambamba na hilo inahitajika umakini mkubwa lasivyo unaweza kuja kupigwa ambush na Mtu mweye Bisibisi huku Mkononi umeshikilia AK 47!!!
 
Mkuu twende beach na vidumu vya lita tano? masikhara haya
hahah hiyo kazungumza kwa levo za chini kabisa
sehem ambazo ziko vizuri nyingi wanakuwa na yale maboya nafikiri
mwenye kisu kitamfaa hicho
mwenye bastola itamfaa hiyo
mwenye kidumu hicho kitamfaa
 
hahah hiyo kazungumza kwa levo za chini kabisa
sehem ambazo ziko vizuri nyingi wanakuwa na yale maboya nafikiri
mwenye kisu kitamfaa hicho
mwenye bastola itamfaa hiyo
mwenye kidumu hicho kitamfaa
Si ndio nimeshangaa niende coco na kidumu tena
 
Self defence ni muhimu sana, Ingawaje kujulikana kuwa una miliki Silaha tayari wewe ni target., sambamba na hilo inahitajika umakini mkubwa lasivyo unaweza kuja kupigwa ambush na Mtu mweye Bisibisi huku Mkononi umeshikilia AK 47!!!
Halafu mapambano si umilkaji wa silaha za kila namna(Japo nimuhimu kuwa na silaha).....ila timing tuu....yani unamlia adui yako timing...halafu unamtusua
 
Beba na anjifu sio unapenga tu kamasi pyeeeeee mbele za watu

Usisahau kuweka beseni la maji ndani unakolala kwa wale wa uswazi wenzangu wamenielewa
 
Dawa ya mbu ya spay kma rungu na nyinginezo hasa kwa wamiliki magari, bajaji na boda boda, ukimpulizia mtu alotaka kukuzuru anatuliaa.
 
Siraha ya kwanza kwangu ni mbio napiga sana tizi la kukimbia ukiniweza kwenye mbio nakuokotea tu mawe mbona utarudi mwenyewe kwenye mawe hakuna mbabe
 
Tochi usikose, kama ni yakuchaji hakikisha iko full chaji, au mabatri mazima, iwe karibu
 
Namba 10 apo, siwezi lala na nguo, mi nalala uchi boxer ipo pembeni incase of dharura, ole wako ujipendekeze.
 
Hata ushauri umekaa kibabe, asante,
mi kama natembea mtu akaja nyuma yangu machale uwa yananicheza lazima nimlie timing atangulie!
 
Unachukua boda boda usiku inakupekeka mpaka mlangoni.....WTF.....Shuka mita 200 nyuma ..kisha unakuja taratibu huku ukifanya recce...

Binafsi nikichukua usafiri wa boda haunifikishi mpaka getini...nashuka mita kadhaa nyuma halafu natembea mdogo mdogo mpaka home
Kwel ukichukua bodaboda shuku mbali kidogo na home kwako.

PIA JITAHIDI KICHUKUA BODABODA KTK KITUO CHA. BODABODA, HASWA USIKU SI KILA BODABODA UCHUKUAYO S YA KUBEBA ABIRIA.

KUNA CASE NYINGI KULE POLCE ZA AINA HII Z KUIBIWA NA HAO BODABODA ZA KUKUTANA NJIA MARA UUBIWAPO, UKIENDA POLICE SWALI LA KWANZA KUULIZWA ULICHUKUA TOYO WAPI KITUO KIOI? WW UKIJIBU NILIKUTANA NALO WAPI? UKIJIBU NIIKUTA NAE BARABARANI UTASIDIWAJE KWANI NI UPELELEZI MGUM PA KUANZIA
 
Halafu mapambano si umilkaji wa silaha za kila namna(Japo nimuhimu kuwa na silaha).....ila timing tuu....yani unamlia adui yako timing...halafu unamtusua
Hahahaha....eti unamtusua

Umenikumbusha mbali mkuu.

Lugha ya watoto wa chuga hiyo...kumtusua au kumkata ngebe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom