SELF DEFENCE, jiandae kwa dharura muda wowote

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
954
2,156
1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kma speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kma husomi weka peni mfukoni kma huna siraha nyingine.


2-Hata kma huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yyte sepa


3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .


4- Usisahau nguo nzito kma blanket na maji incase of fire.


5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehem moja lisaa lizima tena kiboya boya ad wahuni wajue we mgeni.

7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subir kwanza au tafuta njia nyingine.


8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja iyo iyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.


9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kua kma mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.


10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika

11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.

12-- kma hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia

NB: NI KWA WEMA TU, USITUMIE VIBAYA

ONGEZA NYINGINE
 
Sasa kwanini kisiwe jikoni wakati ni chakukatia nyanya? Mwanaume sharti uwe na panga au kisu , icho hagusi mtu, na wote wanasema" icho kisu cha baba kirudishe utachapwa"
hahah sawa nimeelewa kwanini kuna zana za babu zilikua zinaogopeka kuanzia sisi wajukuu zake hadi wanae wote wa kiume na wakike wa kwanza hadi wa mwisho.
 
Unachukua boda boda usiku inakupekeka mpaka mlangoni.....WTF.....Shuka mita 200 nyuma ..kisha unakuja taratibu huku ukifanya recce...

Binafsi nikichukua usafiri wa boda haunifikishi mpaka getini...nashuka mita kadhaa nyuma halafu natembea mdogo mdogo mpaka home
 
Mkuu,

Asante kwa kukumbusha hili.
Ngoja nichukue hii miguu yangu ya kuku miwili kabisa (15 na 20 Glock na Beretta) kabla sijatoka gheto.
 
Unachukua boda boda usiku inakupekeka mpaka mlangoni.....WTF.....Shuka mita 200 nyuma ..kisha unakuja taratibu huku ukifanya recce...

Binafsi nikichukua usafiri wa boda haunifikishi mpaka getini...nashuka mita kadhaa nyuma halafu natembea mdogo mdogo mpaka home
Hata me asee. nimwonyeshe home ili iweje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom