hi guys!!
FALSAFA BORA YA MAISHA YAKO!
1-Uckubali kuzoeana na mtu usiyemjua
2-Unapoitwa ghafla usigeuke,puuza kama husikii ili kupima sauti ni ya nani?
3-ucpendelee kutumia njia moja,badilisha njia nyingine ili usiwe maarufu kwa njia fulani
4-popote utakapo kwenda fuata shida yako iliyokupeleka
5-Epuka kuchunguza na kufuatilia kitu kisichokuhusu na epuka kulaumu hadharani
6-jitahid kumjua mtu tabia yake
7-mjali mwenzako tunza siri na jitahid kutimiza ahadi
8-Ukiaminiwa basi na wewe jiaminishe.
9-Usiwe na tabia ya kudharau wenzio
10-Ridhika na ulichonacho kwa MUNGU useme ahsante...
ongezea na ww falsafa yako!!
# Mondray ...
===========Updates!!!=======
Jamani mm sijaweka hizi ili mzikosoe wala kusema namba flani ni nzuri.
Mm nataka tushee Idea kama na ww unazo zako toa tushee maujuzi...
Mnielewe.
[HASHTAG]#Mondray2017[/HASHTAG].
========>><<====<=
NYONGENZA..
1- Unatembea ngumi hujui, pistol huna, kisu huna hata peni kma speedo huna, ukikabwa unalia lia, ata kma husomi weka peni mfukoni kma huna siraha nyingine. 2-Hata kma huvuti, weka kibiriti hasa cha gesi mfukoni. Mtu kakukaba shingo kiwashe mchome nguo au sehem yyte sepa
3-Geto usikose Nondo, panga , bisbis, kamba au waya .
4- Usisahau nguo nzito kma blanket na maji incase of fire.
5- Unapoenda sehem mgeni unamsubir mtu, sio unakaa sehem moja lisaa lizima tena kiboya boya ad wahuni wajue we mgeni.
7-Unaelekea ktk uchochoro unaona kuna watu huaelewi nao wanakuja, nawe unaenda tu, utalizwa, subir kwanza au tafuta njia nyingine.
8--Kila siku ukienda misele unapita njia moja iyo iyo , ata washirikina wakikuotea hukwepi, jichek, jifunze kupita njia tofauti tofauti.
9--Ukiingia kwenye nyumba/ jengo mara ya kwanza, angalia na sehem za kutokea, sio unaenda kma mbuzi, kua kma mbwa mark sehem mlizopita na mbadala wake pia.
10-Mtoto wa kiume usilale ukavua nguo zote, utaja zalilika
11- jifunZe kubana punzi kwa muda usiopungua dk tatu, zile robbery za kitoto utazimudu.
12-- kma hujui kuogelea na unaenda maeneo ya maji, beba kudumu cha mafuta kilichoisha cha lita tano chene mfuniko, incase of anything, kiweke kifuani ukuwa umekifunga mfuniko maji yasiingie ndani, kishikilie haswa, hutazama miaka mia